Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Hivi ww wity unakubalije kivalishwa pete na wakati bado inatambulika mchumba ana mke? Saa zingine sisi wanawake akili zinawaz kapicha kadogo kweli!ilibidi advorce ndo aje kumvisha pete...
Ila ukweli kabisa...Cat alikuwa na muhaho wa ndoa[emoji848]

Huyu jamaa kafa kwa mambo mengi asee

Kama maiti inagombaniwa hivi je wakati yuko hai si alikuwa anarushiwa vipapai mpaka vya India?...asingeweza kuchomoka huyo, ukute mandumbaa yamemuua[emoji849]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana alikuwa anaumwa nini??

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Alikuja pale anaumwa moyo. Na kaka wa marehemu alipigiwa na dreva akaja, wakampigia mke ambae ni Aziza. Alikuja na alisema mwili upelekwe mochwari. Walikuja watu pale, pakawa na sintofahamu kama 1hr. Na Kuna mama wa ccm wawil walikuja.
 
Ila ukweli kabisa...Cat alikuwa na muhaho wa ndoa[emoji848]

Huyu jamaa kafa kwa mambo mengi asee

Kama maiti inagombaniwa hivi je Wakati yuko hai sir alikuwa anarushiwa vipapai vya mpaka India?...asingeweza kupima huyo, ukute mandumbaa yamemuua[emoji849]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Dah...kuna watu wanapenda kuolewa..khaa🙌
 
Aliugua nn..?funzo kubwa sana hapo..hata ujifanyr unapendwa vipi mke wa ndoa atabak mke wa ndoa aise
Alikuja anaumwa moyo. Alkua anatembea lakini anapepesuka Sana, alkua anaomba aitiwe mke wake Aziza. Nilikua pale, sijahadithiwa, na kafariki namwona. Namjua kama kaka wa hapa chuga, Ila sikujua kama ndo mchumba wa mbunge hadi alipofariki. Na mke wake huyo Aziza alipofika nikagundua nilikua namwonaga bank nmb hapi submit. Alikuwaga mnene kipindi hicho lkn saivi kapungua sana
 
Dah..so sad! Pole zao familia yake
 
Alikuja pale anaumwa moyo. Na kaka wa marehemu alipigiwa na dreva akaja, wakampigia mke ambae ni Aziza. Alikuja na alisema mwili upelekwe mochwari. Walikuja watu pale, pakawa na sintofahamu kama 1hr. Na Kuna mama wa ccm wawil walikuja.
Why the hospital didn't want to carry out a post- mortem? Au ndugu hawataki?

There's something fishy[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Alikuja anaumwa moyo. Alkua anatembea lakini anapepesuka Sana, alkua anaomba aitiwe mke wake Aziza. Nilikua pale, sijahadithiwa, na kafariki namwona. Namjua kama kaka wa hapa chuga, Ila sikujua kama ndo mchumba wa mbunge hadi alipofariki. Na mke wake huyo Aziza alipofika nikagundua nilikua namwonaga bank nmb hapi submit. Alikuwaga mnene kipindi hicho lkn saivi kapungua sana
Aseee...hawakusema kama nyuma alikuwa anajisikia vibaya?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndio sifa za viti maalum CCM , kuanzia kuvamia na kufanya fujo kwenye kampeni , kwenye vituo vya kupiga kura , kuvamia ndoa za watu hadi kuvamia mazishi ya hawara zao . Hao ndio VITI MAALUM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahahahahahahah

Viti maalumu wa CCM Malaya Malaya sio[emoji15]eeeh

Hata wale covid 19 nao Kuna waliouza mechi wale sio bure hivi hivi
 
Hao wanawake miongoni mwao sio mimi!
Shida ni mitazamo yenu... hapo Case na genge lake wamedanganyana huko "komaa ili uonekane, unaweza kupewa chochote" kwani kma ndugu wamekataa kulikua na haja gani kwenda kuzika? Wewe sio mke wa ndoa unataka nn? Kufanya fujo msibani ndio uonekane imekuuma sana? Kwanini asiolewe na mume wake peke ake? Wanawake badilikeni ishi na mwanaume baada ya ndoa sio unajisogeza sababu kuna ulaji.

Hapo anawaza kashachapwa na mkia na bado katoka kapa🤪🤪😆😆 iyo ndio inamuuma zaidi.
 
Lakini kwa Catherine Magige hii ni promo kubwa na ya msingi sana.

Tusisahau kwamba watu kama hawa wajasiriamali wa mapenzi wanategemea "kiki" ku-thrive.

Tulivyo wanaume, sasa hivi kila mwenye pesa ataanza kumwinda the popular politika hot chicka aweze kummega.

She knows it. Amepanda dau.

Kwahiyo kama kuna mtu anadhani Catherine kajishushia heshima, ajikosoe. She's playing a different game in a different field.
Hili wazo utakuwa ndio unampa wewe Sasa hivi na Nina uhakika atalifanyia kazi

Na Kuna mafisi watataka nao kuosha rungu
 
Shida ni mitazamo yenu... hapo Case na genge lake wamedanganyana huko "komaa ili uonekane, unaweza kupewa chochote" kwani kma ndugu wamekataa kulikua na haja gani kwenda kuzika? Wewe sio mke wa ndoa unataka nn? Kufanya fujo msibani ndio uonekane imekuuma sana? Kwanini asiolewe na mume wake peke ake? Wanawake badilikeni ishi na mwanaume baada ya ndoa sio unajisogeza sababu kuna ulaji.

Hapo anawaza kashachapwa na mkia na bado katoka kapa🤪🤪😆😆 iyo ndio inamuuma zaidi.
Acheni unafki jmn
Wanaume wangapi wana mwanamke mmoja tuu?(hawachepuki)?

pili marehemu ht hakuwa anachepuka alimvisha Cat pete na walikua hawajifichi
Upande wa Mke nasikia kulikua na divorce case inaendelea
 
Back
Top Bottom