witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ila ukweli kabisa...Cat alikuwa na muhaho wa ndoa[emoji848]Hivi ww wity unakubalije kivalishwa pete na wakati bado inatambulika mchumba ana mke? Saa zingine sisi wanawake akili zinawaz kapicha kadogo kweli!ilibidi advorce ndo aje kumvisha pete...
Huyu jamaa kafa kwa mambo mengi asee
Kama maiti inagombaniwa hivi je wakati yuko hai si alikuwa anarushiwa vipapai mpaka vya India?...asingeweza kuchomoka huyo, ukute mandumbaa yamemuua[emoji849]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app