Ni mchumba wake na Pete kavishwa...na kakaa nae 2 yrs toka 2018
Sema Cat alizubaa sana ilitakiwa hiyo divorce iwe imeshatoka mapema sana, ndo imekula kwake, na kama alikuwa anafanya nae investments zozote sijui mwanaume anaandika majina yake.....hiyo ndo nitolee wife analamba vyotee maninaaa[emoji134]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila ukweli kabisa...Cat alikuwa na muhaho wa ndoa[emoji848]
Huyu jamaa kafa kwa mambo mengi asee
Kama maiti inagombaniwa hivi je wakati yuko hai si alikuwa anarushiwa vipapai mpaka vya India?...asingeweza kuchomoka huyo, ukute mandumbaa yamemuua[emoji849]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila mkewe ana upendo wa agape..mm sina huo moyo
Sasa ndo ukute familia inakukubali,ukikuta familia kama ya huyo Madoda wanafiki tu wanamsapoti kaka yao na ufedhuli wake unafanyaje sasa maana Huyo wifi mwanzo alikua best yake kamchenjia tu mwishoni ukute waligombana..!!!yaani inauma sana baasi tu bora hata km wifi unajua lakini usijiingize kwenye mgogoro usokuhusuNakwambia Mchepuko alichemsha mwenyewe akasepa,kila akijaribu kujipendekeza kwa Mama anakuta Mama yuko busy anasali na Kikundi chake cha Moyo Mtakatifu wa Yesu kumwombea mtoto wake arudi kwenye Ndoa yake,Mchepuko kwangu hakuwahi thubutu hata kuandika msg. Kajipendekeza kwa Cousins wetu wakawa wanamlia vipesa vyake,wadogo zangu wa kiume wawili walikuwa na misimamo pia kumtetea Mke wa Ndoa, familia nzima tulisimama,Kaka akachoka akamwambia nimechoka kutengwa na familia na ndugu zangu,akarudi zake kwa Mkewe wa Ndoa na ndiyo tukarudisha mahusiano nae kifamilia.
Mkurya huyo Magige hyo ni muraaa....!!!!yaanni ni wabishi sana hao na huyo anafia ndoa kwa sababu jamii za kikurya zinamdharau sana na hivi hajaolewa ndo kabisaa yaani anahangaika kuolewa hata afanyejeKumbe ni mkurya...basi ndo maana
Fita ni fita muraa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo pete ilikuwa pete ya u-mchepuko au ya kitu gani? Mtu hawajapeana talaka na mke wake, anakuvishaje pete, na hiyo pete angeivaa hadi lini bila ndoa? Wanawake wanaokutana na cases kama hizi wajifunze kwa Shaa; kasubiri mpaka talaka ya Master Jay na mkewe imetoka ndiyo na yeye kaamua hata na kuzaa sasa.
Wanaume wetu hawa asikudanganye sijui hamtaki mke wake, sijui wanaishi tu kwa ajili ya watoto wala vya talaka ipo kwenye process; akuoneshe kabisa hiyo talaka ndiyo mengine yaendeleee. Sio una kazi ya kudanganywa na pete sijui kubeba mimba, huku mtu anapatwa na matatizo yet anataka aitiwe mkewe. Mh atakuwa ameshajua alikuwa na nafasi gani kwa marehemu.
Watoto wakiwa wadogo, mali za mume pia ukizichungulia looh wacha nimpokee tuu ndiyo inakuwa hitimisho
Leo Cate kaenda km mtu mwingine yoyote tu?.
Kimeumana pale kdg wazichape.,
Kurusha shada mchezo
Ila mhhh wote watata
Huyu kavunja geti yule katupa shada
Jamii inajua waliachana na kesi iko kwa mahakama, kimsingi hakuna ndoa,
Dah..ntamzika ila sio kupigania maiti...hata angezikwa na city mm ningepartcipate kama mkewe wa zamani...aku[emoji23]hutaki unafiki wewe
Dah..ntamzika ila sio kupigania maiti...hata angezikwa na city mm ningepartcipate kama mkewe wa zamani...aku
Na wabawakutaga hao wanawake wapole!Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
Hahaa ungefight? Mm nisingefight niwe mkweli!..ila sina hakika sana!Na wabawakutaga hao wanawake wapole!
Halyamama angejuta kunifahamu
Hahaaa,mi natakaga ujinga sasa! Kwanza ye na hicho kikundi chake wangeishia nje na wangelala selo, pumbavu kabisa!Hahaa ungefight? Mm nisingefight niwe mkweli!..ila sina hakika sana!
Marehemu alikua na mengi kifuani kwake, sishangai yeye kupata ugonjwa wa moyo. Maana mke mtata mchepuko mbabe basi tafrani tupu
Sasa ndo ukute familia inakukubali,ukikuta familia kama ya huyo Madoda wanafiki tu wanamsapoti kaka yao na ufedhuli wake unafanyaje sasa maana Huyo wifi mwanzo alikua best yake kamchenjia tu mwishoni ukute waligombana..!!!yaani inauma sana baasi tu bora hata km wifi unajua lakini usijiingize kwenye mgogoro usokuhusu
Mkurya huyo Magige hyo ni muraaa....!!!!yaanni ni wabishi sana hao na huyo anafia ndoa kwa sababu jamii za kikurya zinamdharau sana na hivi hajaolewa ndo kabisaa yaani anahangaika kuolewa hata afanyeje
Kwanza haitakiwi kuolewa na mtalaka [emoji2356][emoji2356] kama alishindwa kuishi na mkewe atakuja tu kukusumbua na wewe huko mbele ya safari [emoji4].