Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Nasikia hata tajiri wa mabasi wa dodoma ambaye pia Ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.

Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae

Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae

Si Haba
1. M
2. Then K
3. Then S
4. Then M
5. Then C
6. Then the late
Hapo hatujahesabu one night stand
Hivi mwanamke akiwa na miaka 55 anapaswa awe ametembea na wanaume wangapi?
 
Kabla ya mazishi hayo Magige alidai marehemu alikuwa mchumba wake lakini ndugu wa marehemu wakidai huyo alikuwa mwizi Kama wezi wengine wa wanaume na familia inamtambua mke halali wa marehemu ni Aziza Msuya.

Marehemu ameacha watoto watatu wa mke wake wa ndoa Aziza Msuya aliyefunga naye ndoa ya kikristu mwaka 2003mjini Dodoma[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa warembo wa mjengon wana vituko eh .... Iv yule mwengine aliolewa na kijana mwaka flan iv then wadau wakasema dada wa mjengon ndio kamuoa jamaa ....part ilikuwa kali sali sijui alikuwa anaitwa lusi
 
Dada wa marehem Katika mahojiano amesema marehemu alifungua Shauri mahakamani ijumaa kudai talaka Kwa Aziza ili amuoe huyo Catherine.

Na Kwa mujibu wa huyo dada,marehemu hajaugua,inawezekana hapo imetumika ile falsafa ya wawanawake "tukose wote "
 
Hapo tatizo sio kuzika tatizo ni kutambulika kwenye MIRATHI.

Pesa Pesaa
Huyo mbunge sizan kama anashida ya miradhi huyo kahudumu bungeni vipindi kadhaa ana shekeli za kutosha.

Huyo itakuwa ni LOVE tu, inaonekana alimuelewa marehemu
 
Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Hata Kama Edo alipita.
 
Nani kakwambia wabunge hawana njaa. Nenda kwenye mabenki uone mikopo wanayodaiwa.

Vicky kamata alikua mbunge ila saiv anagombania urithi na wanae wa kambo
Huyo mbunge sizan kama anashida ya miradhi huyo kahudumu bungeni vipindi kadhaa ana shekeli za kutosha.

Huyo itakuwa ni LOVE tu, inaonekana alimuelewa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…