Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Bado ilikua na nguvu,mpaka mmoja afeNi kweli
Ila ndoa ilikuwa ICU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ilikua na nguvu,mpaka mmoja afeNi kweli
Ila ndoa ilikuwa ICU
Acheni unafki jmn
Wanaume wangapi wana mwanamke mmoja tuu?(hawachepuki)?
pili marehemu ht hakuwa anachepuka alimvisha Cat pete na walikua hawajifichi
Upande wa Mke nasikia kulikua na divorce case inaendelea
Inakuwaga inatokea mume akifa utu unarudi automatic.
Ss mbona alikua anaishi na Cathy km hio ndoa aliiheshimu sana?.Hiyo pete ilikuwa pete ya u-mchepuko au ya kitu gani? Mtu hawajapeana talaka na mke wake, anakuvishaje pete, na hiyo pete angeivaa hadi lini bila ndoa? Wanawake wanaokutana na cases kama hizi wajifunze kwa Shaa; kasubiri mpaka talaka ya Master Jay na mkewe imetoka ndiyo na yeye kaamua hata na kuzaa sasa.
Wanaume wetu hawa asikudanganye sijui hamtaki mke wake, sijui wanaishi tu kwa ajili ya watoto wala vya talaka ipo kwenye process; akuoneshe kabisa hiyo talaka ndiyo mengine yaendeleee. Sio una kazi ya kudanganywa na pete sijui kubeba mimba, huku mtu anapatwa na matatizo yet anataka aitiwe mkewe. Mh atakuwa ameshajua alikuwa na nafasi gani kwa marehemu.
Wanawake kwa nini hampendani lakini 🤔Mnamlazimisha marehemu akubali mke aliyemkataa akiwa hai?
Ama talaka mahakamaniBado ilikua na nguvu,mpaka mmoja afe
Hapana aisee marehemu pesa anayo ya kutosha sana kwanza sio type ya vijana uchwara ana investments za kutosha hakuwa mtu wa kutegemea kulishwa allowance za ubunge .Hapo huwezi kujua sasa kinachomfanya adhalilike hivi
Subiri kwenye mirathi utapata jibu kamili
Nahisi huyu dada alikuwa anachunwa [emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ss mbona alikua anaishi na Cathy km hio ndoa aliiheshimu sana?.
Na talaka si process zilikuw zinaendelea
Kulikuwa na ndoa hapo
Watoto wakiwa wadogo, mali za mume pia ukizichungulia looh wacha nimpokee tuu ndiyo inakuwa hitimishoSio kwa wote aisee.
Ambacho wanawake wanakataa kukubali abadani ni kuwaMpaka mume anakufa, talaka ilikuwa haijatolewa so ndoa ilikuwa haijafa, hata kama wenyewe walikuwa hawaitaki kwa sabau kuna watu wanapeleka mashauri ya talaka huko, mwisho wa siku wanapatana ndoa inaendelea. Ndiyo maana mke amepewa haki zote za kumzika huyo mumewe; huo ndiyo Ukristo sasa.
Hili ni somo kwa kila mwanamke, usije ukaishi na mtu ambaye anaprocess talaka, ukajiachia ukafikiri wewe ndiyo mke, as long as talaka haijatoka; huyo bwana akifa, utafanya msiba kwa picha ya marehemu. Na kwa Ukristo talaka sio jambo jepesi la siku moja, so ukiwa na mwanaume wa aina hiyo, know your place mapema.
HS usinambie Master j talaka imetoka? Lini?Hiyo pete ilikuwa pete ya u-mchepuko au ya kitu gani? Mtu hawajapeana talaka na mke wake, anakuvishaje pete, na hiyo pete angeivaa hadi lini bila ndoa? Wanawake wanaokutana na cases kama hizi wajifunze kwa Shaa; kasubiri mpaka talaka ya Master Jay na mkewe imetoka ndiyo na yeye kaamua hata na kuzaa sasa.
Wanaume wetu hawa asikudanganye sijui hamtaki mke wake, sijui wanaishi tu kwa ajili ya watoto wala vya talaka ipo kwenye process; akuoneshe kabisa hiyo talaka ndiyo mengine yaendeleee. Sio una kazi ya kudanganywa na pete sijui kubeba mimba, huku mtu anapatwa na matatizo yet anataka aitiwe mkewe. Mh atakuwa ameshajua alikuwa na nafasi gani kwa marehemu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake kwa nini hampendani lakini [emoji848]
No disrespect Ila angalia mke na mcheps kwa kweli mtatulaumunwanaume tu. Mke kanyoa kiduku sijui panki utadhani house dada, ukicheki mcheps umejazia hatari na unawaka balaa. Wanawake mkiolewa msijisahau bana.ngoja ninogeshe uzi kwa picha mujarabu
View attachment 1800180 View attachment 1800181
mwenye vikuku ( zile zetu zipo za mpododo ) wacha watu wamshobokee bhana.
View attachment 1800197
Mke wa halali wa bwana Kudula Madoda akiwa na majonzi tele .
View attachment 1800198
Basi hapo anataka mali hamna kingine ( mirathi)Hapana aisee marehemu pesa anayo ya kutosha sana kwanza sio type ya vijana uchwara ana investments za kutosha hakuwa mtu wa kutegemea kulishwa allowance za ubunge .
Pia huyo Cathy mwenyewe ni mdangaji maarufu do you think anaweza kuwa na mwanaume ili atumie viallowance vyake ? Never. The guy alikuwa anajiweza alishachotaga pesa TRA huko akajiwekeza.
Hii inaitwa ujipange[emoji848]Mpaka mume anakufa, talaka ilikuwa haijatolewa so ndoa ilikuwa haijafa, hata kama wenyewe walikuwa hawaitaki kwa sabau kuna watu wanapeleka mashauri ya talaka huko, mwisho wa siku wanapatana ndoa inaendelea. Ndiyo maana mke amepewa haki zote za kumzika huyo mumewe; huo ndiyo Ukristo sasa.
Hili ni somo kwa kila mwanamke, usije ukaishi na mtu ambaye anaprocess talaka, ukajiachia ukafikiri wewe ndiyo mke, as long as talaka haijatoka; huyo bwana akifa, utafanya msiba kwa picha ya marehemu. Na kwa Ukristo talaka sio jambo jepesi la siku moja, so ukiwa na mwanaume wa aina hiyo, know your place mapema.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]No disrespect Ila angalia mke na mcheps kwa kweli mtatulaumunwanaume tu. Mke kanyoa kiduku sijui panki utadhani house dada, ukicheki mcheps umejazia hatari na unawaka balaa. Wanawake mkiolewa msijisahau bana.
KWA nn[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huyo[emoji16]
Hivi wanaume mnataka nini???[emoji849][emoji849][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hata hyo ya kuwashia tv inamtosha...ikifika hyo 450kv anakuwa mahututi450KV ndio ya Taifa