Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe huyo[emoji16]

Hivi wanaume mnataka nini???[emoji849][emoji849][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tuache hayo ya wanaume tunataka nini? Hebu tudeal na hii kesi iliyopo kwakweli mke na kipanki namna hiyo anaonekana ni wale mademu wa Arusha wanapendaga panki sasa jamaa akikaa na masuti zake anaona kabisa hii panki inazingua Ila akijiweka kea Cathy Yani unaona kabisa wanaendana jamani. Hii haihusiani na ndoa lakini 😃
 
Kaisikilize vizuri dear, talaka ilishatoka December 2019 ( part 1 ya interview kuanzia dk 14). Ndiyo alikuwa anasema talaka imechukua over 10 years kutoka kwa sababu mke kila wakienda mahakamani alikuwa anasema bado anampenda mumewe. Sasa mtu aje ajidanganye shauri la talaka ndiyo talaka, what if Master Jay angechoka hizo sarakasi akaona bora tu arudishe majeshi?
HS usinambie Master j talaka imetoka? Lini?

Mbona juzi Kati anahojiwa na Zama alisema mke wake hataki talaka na wakifika mahakamani anasema bado anampenda Masterj[emoji849]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijakubishia, ninawasaidia tu wengine wasije wakapatwa. Mume anaweza akaondoka kwa hiari yake, wala wewe hujahusika kuvunja ndoa yao; ila as long as talaka haijatoka: he is not your husband period. Sasa ili kuepuka kama haya ya Cate; subiri talaka itoke then mjiachie kwa amani au ishi naye tu kama mchepuko; he is not your man, yakitokea mengine utaenda tu msibani kama mtu mwingine yeyote tu
Ambacho wanawake wanakataa kukubali abadani ni kuwa
Marehemu aliacha mji wake kwa hiari bila kulazimishwa akaenda kwa mwanamke mwingine na kuishi nae

kisheria ni kweli mke anastahili ndo mana kazika yeye

Ila kimapenzi hawakua pamoja ndo mana imegeuka issue
 
Kwa kweli mahusiano ya hivi ni changamoto sana
Daaah! Inafikirisha sana. Bahati mbaya watu hua wanajisahau na kugoma kufikiria hili
Pete ya u-chumba Vs Pete ya u-mchepuko?? [emoji85]
Wacha nicheke, utafikiri mazuri!
Cheka tu ndugu yangu, sasa mtu ambaye in the eyes of law anahesabika kama bado ni mume wa mtu; anakuvalisha pete wewe kama nani yake? Unaweza ukafunga naye ndoa kama talaka haijatoka?
 
Ss mbona alikua anaishi na Cathy km hio ndoa aliiheshimu sana?.
Na talaka si process zilikuw zinaendelea
Kulikuwa na ndoa hapo
Kuishi naye haikufanyi kuwa anakumiliki .masuala ya ndoa ni complicated sana! Hao waliishi kinyumba tu! Ila kweli ndoa iheshimiwe na watu wote...mume anakata roho anamuita mke? Dah
 
Kumbe unaweza ukajifanya unahonga pesa ndefu kumbe mtu keshakua mchepuko wa mamvi. Akitoa hela ya saluni anachanganya na tiketi ya ndege mtu akasukwe Sauz. Badala ya kulipiwa Kodi ya miezi mitatu, anapewa apartment kadhaa achukue Kodi yeye.

Ukijifanya fundi unakuta mtu keshatembea na mafundi wa katerero ya kizamani.
Ukijifanya fundi wa kunywa beer, unakuta mtu keshakunywa na mawaziri walevi.
Mbele ya mchepuko inabidi tu uwe mpole.
Hapo kupindua meza ni kuwa na mashine ya ukwel na kaz uijue kuipiga..yaan hakikisha unamwaga maji kwerikweri
 
Kaisikilize vizuri dear, talaka ilishatoka December 2019 ( part 1 ya interview kuanzia dk 14). Ndiyo alikuwa anasema talaka imechukua over 10 years kutoka kwa sababu mke kila wakienda mahakamani alikuwa anasema bado anampenda mumewe. Sasa mtu aje ajidanganye shauri la talaka ndiyo talaka, what if Master Jay angechoka hizo sarakasi akaona bora tu arudishe majeshi?
Ila pia ni fundisho kuhusu wanaong'ang'ania cheti
Mtu km hakutaki hakutaki tuu miaka kumi mwishowe....

ndo mana mtu anakuacha na cheti anaenda kuishi kwingine

Raha ya ndoa mi naona ni cheti na mapenzi ya hiari pande zote
 
Mimi sijakubishia, ninawasaidia tu wengine wasije wakapatwa. Mume anaweza akaondoka kwa hiari yake, wala wewe hujahusika kuvunja ndoa yao; ila as long as talaka haijatoka: he is not your husband period. Sasa ili kuepuka kama haya ya Cate; subiri talaka itoke then mjiachie kwa amani au ishi naye tu kama mchepuko; he is not your man, yakitokea mengine utaenda tu msibani kama mtu mwingine yeyote tu
Leo Cate kaenda km mtu mwingine yoyote tu?.
Kimeumana pale kdg wazichape.,
Kurusha shada mchezo
Ila mhhh wote watata
Huyu kavunja geti yule katupa shada
 
Ila pia ni fundisho kuhusu wanaong'ang'ania cheti
Mtu km hakutaki hakutaki tuu miaka kumi mwishowe....

ndo mana mtu anakuacha na cheti anaenda kuishi kwingine

Raha ya ndoa mi naona ni cheti na mapenzi ya hiari pande zote
Yes ndoa mpendane, na mkiona mmeshindwana basi kila mtu ashike 50 zake mapema. More than 10 years kubembeleza mtu arudi afu mtu hataki, labda alikuwa ana imani ipo siku mumewe atakubali kurudi. Au ndiyo kama kawaida yetu wanawake wa kibongo; tunasubirigi waume warudi uzeeni wakiwa wameshajichokea
 
Sasa Cate ameenda kama nani pale ndugu yangu au ulisikia mchumba wa marehemu ameitwa akaweke shada? Na angekuwa sio mtu mwenye influence unadhani angekanyaga pale; si amefanya tu ubabe kuingia na kuweka shada? Kweli wewe ndiyo ulipendwa, ila leo wewe ndiyo unaweka msiba kwa picha ya marehemu, hakuna hata kumuona kwa mara ya mwisho? Yule mke mbona kafanya ustaarabu sana
Leo Cate kaenda km mtu mwingine yoyote tu?.
Kimeumana pale kdg wazichape.,
Kurusha shada mchezo
Ila mhhh wote watata
Huyu kavunja geti yule katupa shada
 
Ila ndoa za kikristu daah,ni ngumu sana kuna watu wanakaa tofauti lakini ukiwakuta kwenye harusi wanatoka km mr&mrs mwaka karibu wa kumi na tano sasa.
 
Ila ndoa za kikristu daah,ni ngumu sana kuna watu wanakaa tofauti lakini ukiwakuta kwenye harusi wanatoka km mr&mrs mwaka karibu wa kumi na tano sasa.
Mwaka wa kumi no manenos?
Mume najua Ni mjanja. Mrs anaponea wapi? Maana akigundulika tu......
 
Bwahahahahahahah

Viti maalumu wa CCM Malaya Malaya sio[emoji15]eeeh

Hata wale covid 19 nao Kuna waliouza mechi wale sio bure hivi hivi
Malaya tu demonstration zenyewe kwa jamii ndio hizi kuwa na mahawara here and there watashindwa nini kugawa mechi kwenye siasa zao za ngono . Catherine na wenzake wanapigwa mzunguko balaa😂😂😂😂😂😂
 
Sasa Cate ameenda kama nani pale ndugu yangu au ulisikia mchumba wa marehemu ameitwa akaweke shada? Na angekuwa sio mtu mwenye influence unadhani angekanyaga pale; si amefanya tu ubabe kuingia na kuweka shada? Kweli wewe ndiyo ulipendwa, ila leo wewe ndiyo unaweka msiba kwa picha ya marehemu, hakuna hata kumuona kwa mara ya mwisho? Yule mke mbona kafanya ustaarabu sana
Sheria imemlinda mke
Mchepuko hatambuliki kisheria ila wote tunajua full story

Kila mtu anataka kuonekana influence yake
 
Back
Top Bottom