Pole Freeman Mbowe! Umedhalilishwa sana ila Mungu atakulipia

Ndio demokrasia hio,Ubaya wa kina Lissu ni upi?
Demokrasia ni kushindana kwa hoja, mwenye hoja ashinde.

Kusema mwenzio kaongwa tena bila ushahidi sio demokrasia, ni kuteketeza heshima yake.
 
Umeshaambiwa Mbowe aliyetoka gerezani ni tofauti na yule aliyekwenda gerezani, ulitaka mpaka chama kimfie mikononi? Au ndiu ule msemo wa kusikia kwa kenge mpaka.......
Siwezi kuamini mtu muongo aliyeamua kumchafua mwenzie ili apate madaraka.
 
Siasa tu zile....
 
Kwako unaziona nyingi, kule mboga mboga ni kiasi kidogo sana
Vijana mnafata mkumbo tu mnaumiza watu.

Mbowe hakustaili kuumizwa namna hii.

Eti kaongwa na CCM.

Ushaidi upo wapi?

Lissu kasema.
 
Vijana mnafata mkumbo tu mnaumiza watu.

Mbowe hakustaili kuumizwa namna hii.

Eti kaongwa na CCM.

Ushaidi upo wapi?

Lissu kasema.
Wew kama unamwamini mbowe Wacha na sisi tumwamini lisu.
 
Demokrasia ni kushindana kwa hoja, mwenye hoja ashinde.

Kusema mwenzio kaongwa tena bila ushahidi sio demokrasia, ni kuteketeza heshima yake.
Yeye alipowaita wenzake wahuni alitoa ushahidi?
 
Wooote ambao hawataki kudhalilishwa wako nje ya siasa, ukishakuwa mwana siasa wewe kubaliana na yote nadhani hata yeye Hilo analitambua.
Haya yote kayataka mwenyewe maana ilitosha yeye kusoma nyakati na kupima muda aliokaa madarakani then angefanya busara ya kumkabidhi mtu mwingine kijiti kabla hata watu hawajaanza kumwaga madhaifu yake.

Lkn wote wa yote uchaguzi umekwisha na wanachedema wote wamekubaliana na matokeo, kwa umoja wao wanajiandaa kwenda site kuwatetea Watanzania dhidi ya manyang'au wenzio. Kwa hiyo wewe dada acha kuwachonganisha ndgu( ndgu wakigombana shika jembe ukalime
 
Ninyi ndio mlikuwa hammtakii Mema mmemshauri Mzee wa watu Jambo la kijinga kwa manufaa yenu. Tumewaambia tangu siku ya Kwanza hashindi na itamuabisha hamkusikia.

Leo mnaendeleza unafiki wenu ili aone watu wengine wabaya wakati wabaya ni ninyi
 
Ninyi ndio mlikuwa hammtakii Mema mmemshauri Mzee wa watu Jambo la kijinga kwa manufaa yenu. Tumewaambia tangu siku ya Kwanza hashindi na itamuabisha hamkusikia.

Leo mnaendeleza unafiki wenu ili aone watu wengine wabaya wakati wabaya ni ninyi
Shida sio kushindwa.

Mbowe hakustaili matusi na kudhalilishwa.

Yeye alitumia haki yake ya kidemokrasia.

Mngeweza kutafuta kura bila kumzushia uongo. Sasa mshapata hayo madaraka, mnaweza msafisha?

Eti Mzee Kibao aliponiambia kuhusu rushwa ya Chadema akauawa, seriously?
 
Ww kama Nan unasikitika? bon yai?
Watu kama wewe vichwa vya panzi siwalaumi nyinyi mmebebwa na upepo. Ni kawaida bongo mtu akiitwa mwizi watu hawaulizi wanashambulia tu sababu ya sadism.

Nalaumu wale waliokuwa wanajua mchezo wanaoufanya.
 

Kama alizushiwa uongo taratibu za chama zinasemaje?
Kwa nini hazijafuatwa?

Kwenye siasa ukishakuwa na makandokando ya hapa na pale, siku za uchaguzi watu watasema tuu. Ukipinga ushahidi utatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…