ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwangu nimefurahi Kwa sababu huu mtindo wa kupakana matope Kwa uzushi umeasisiwa na machadomo ambao huwazushia hivyo watu wasio waunga mkono ikiwemo Kuitwa chawa.View attachment 3211616
Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali.
Umeitwa mla rushwa.
Umeitwa pandikizi la CCM.
Umeitwa Mugabe.
Umeitwa Nkrunzinza.
Tumeambiwa umenunuliwa na Abdul.
Ghafla ukageuka adui wa chama na mtu usiyeitakia mema CHADEMA. Chadema yote ikaanza kukusulubu bila kuwa na ushaidi wowote, kwa nini wamekufanyia hivi?
Yote haya yamefanywa na vijana wako uliyetumia raslimali zako na upendo wako kuwalea na kuwakuza wakawa maarufu kwenye siasa.
Mwisho wake kelele za social media zikawatoa ubinadamu wakajiona wakubwa supermen, wakakugeuzia kibao wakataka kiti chako kwa nguvu wakatumia mtindo wa kukuchafua ili wapate madaraka na kweli wameyapata.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe umebaki mchafu, history haitakukumbuka kama shujaa itakukumbuka kama mwenyekiti uliyeondolewa madarakani kwa tuhuma za ufisadi na kungangania madaraka.
Lakini Mungu yupo, kabla ya uchaguzi wa 2025 atakuwa amekujibu na kukulipia kila baya walilokufanyia.
Lissu, Lema na Heche ni watu wabaya sana.
Wanaona vinaelea hawajui viliundwa. Wamekuta chama kipo nchi nzima wanaamua kukupora kwa kuchafua heshima yako uliopigania kwa gharama kubwa kuijenga.
Umedhalilika sana ila Mungu atakulipia!
Sasa Kwa kuwa imeanza kuwakuta wenyewe nimefurahi kweli,na hata hao wengine watakuja kumalizana Kwa utaratibu huu huu maana ndio mbinu inayowalipa.
Hukumbuki nyie Machado Huwa mnasema Samia ameuza Mali za Tanganyika bila ushahidi kisa kuita wawekezaji,Huwa mna mbagua Kwa Jinsia yake na eneo anakotokea nk nk.
Ila Kila mtu atapata majibu Kwa wakati wake,hayo ya Mbowe ni Mwanzo tuu,tutasikia mengi mda utaleta majibu.