chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Ila lisu ilikuwa halali kuchafuliwaKinachoumiza watanzania ni kwa nini mmemchafua Mbowe?
Yani mpaka mnasema kamuua Mzee Kibao?
Shida ni hayo madaraka tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila lisu ilikuwa halali kuchafuliwaKinachoumiza watanzania ni kwa nini mmemchafua Mbowe?
Yani mpaka mnasema kamuua Mzee Kibao?
Shida ni hayo madaraka tu?
Mbowe hajawai kumchafua Lissu wala kukishambulia chama.Ila lisu ilikuwa halali kuchafuliwa
Kuna mambo ambayo tunayaweka kwenye records.View attachment 3211616
Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali.
Umeitwa mla rushwa.
Umeitwa pandikizi la CCM.
Umeitwa Mugabe.
Umeitwa Nkrunzinza.
Tumeambiwa umenunuliwa na Abdul.
Ghafla ukageuka adui wa chama na mtu usiyeitakia mema CHADEMA. Chadema yote ikaanza kukusulubu bila kuwa na ushaidi wowote, kwa nini wamekufanyia hivi?
Yote haya yamefanywa na vijana wako uliyetumia raslimali zako na upendo wako kuwalea na kuwakuza wakawa maarufu kwenye siasa.
Mwisho wake kelele za social media zikawatoa ubinadamu wakajiona wakubwa supermen, wakakugeuzia kibao wakataka kiti chako kwa nguvu wakatumia mtindo wa kukuchafua ili wapate madaraka na kweli wameyapata.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe umebaki mchafu, history haitakukumbuka kama shujaa itakukumbuka kama mwenyekiti uliyeondolewa madarakani kwa tuhuma za ufisadi na kungangania madaraka.
Lakini Mungu yupo, kabla ya uchaguzi wa 2025 atakuwa amekujibu na kukulipia kila baya walilokufanyia.
Lissu, Lema na Heche ni watu wabaya sana.
Wanaona vinaelea hawajui viliundwa. Wamekuta chama kipo nchi nzima wanaamua kukupora kwa kuchafua heshima yako uliopigania kwa gharama kubwa kuijenga.
Umedhalilika sana ila Mungu atakulipia!
Kayataka mwenyeweMmekipata mlichokitaka, lakini maumivu mliyomuachia Old man ni makubwa sana nyinyi mtalipwa siku moja msikie kile anapitia sasa hivi.
Aliapa kuwashughulikia akina Lisu endapo angeshinda...Mmekipata mlichokitaka, lakini maumivu mliyomuachia Old man ni makubwa sana nyinyi mtalipwa siku moja msikie kile anapitia sasa hivi.
Kudhalilishwa ?!View attachment 3211616
Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali.
Umeitwa mla rushwa.
Umeitwa pandikizi la CCM.
Umeitwa Mugabe.
Umeitwa Nkrunzinza.
Tumeambiwa umenunuliwa na Abdul.
Ghafla ukageuka adui wa chama na mtu usiyeitakia mema CHADEMA. Chadema yote ikaanza kukusulubu bila kuwa na ushaidi wowote, kwa nini wamekufanyia hivi?
Yote haya yamefanywa na vijana wako uliyetumia raslimali zako na upendo wako kuwalea na kuwakuza wakawa maarufu kwenye siasa.
Mwisho wake kelele za social media zikawatoa ubinadamu wakajiona wakubwa supermen, wakakugeuzia kibao wakataka kiti chako kwa nguvu wakatumia mtindo wa kukuchafua ili wapate madaraka na kweli wameyapata.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe umebaki mchafu, history haitakukumbuka kama shujaa itakukumbuka kama mwenyekiti uliyeondolewa madarakani kwa tuhuma za ufisadi na kungangania madaraka.
Lakini Mungu yupo, kabla ya uchaguzi wa 2025 atakuwa amekujibu na kukulipia kila baya walilokufanyia.
Lissu, Lema na Heche ni watu wabaya sana.
Wanaona vinaelea hawajui viliundwa. Wamekuta chama kipo nchi nzima wanaamua kukupora kwa kuchafua heshima yako uliopigania kwa gharama kubwa kuijenga.
Umedhalilika sana ila Mungu atakulipia!
Plan A, B na C zimefeli zote sasa wanakuja na plan F 😆Kilio cha chawa
Kuna jibwege linasambaza panic huko X kuwa anataka kutimuliwa.Plan A, B na C zimefeli zote sasa wanakuja na plan F 😆
Katika tuhuma zote, ya kusema Mbowe kamuua Mzee Kibao ilikuwa mbaya sana so inhumanKuna mambo ambayo tunayaweka kwenye records.
Mbowe kaambiwa kalamba asali tena bila ushahidi.
Kaambiwa alipotoka MAGEREZA kaibukia IKULU hawajui alifikaje.
Yaani MAASKOFU 3 na SHEIKH MKUU wanakwambia unahitajika Ikulu Lissu na genge lake wanasema kalamba asali.
Wanaomuunga mkono Mbowe wamekula rushwa ila wanamuunga mkono Lissu ni wapambanaji.
Lissu aliyenipa taarifa za rushwa ni mjumbe wa Kamati kuu lakini sasa ni Marehemu.Ni wazi Mzee Ally Kibao ndiye aliyekuwa akizungumziwa.
Hapa Lissu alitaka kumchafua Mbowe ni mla rushwa na hapo hapo kahusika au kashirikiana na serekali.
Kwa hakika genge la Lissu halitafika popote kwakuwa ni aina ya wanasiasa wanaweza kusema chochote bila kujali ukweli umesimama wapi.
Niko nimekaa pale.
NO REFORM NO ELECTION.
Hawa ni wapenda vya bure, wamebutwaa hawajui maisha yao yatakuwaje bila Mwamba.Mbona uchaguzi umeshaisha na tunaendelea na maisha mengine shida ni Nini minung'uniko hiyo??
Mbowe ndio kamuua Mzee Kibao?Aliapa kuwashughulikia akina Lisu endapo angeshinda...
Upofu wako ndo anguko lako
Yani mnampenda sana uongo na kuchafua wengine.Hawa ni wapenda vya bure, wamebutwaa hawajui maisha yao yatakuwaje bila Mwamba.
Wewe ni mshamba unayeishi kwa kusifia wanaume wenzako.Yani mnampenda sana uongo na kuchafua wengine.
Kwa hiyo wewe unayajua maisha yangu kwamba naishi mjini sababu ya Mbowe?
Dogo, mimi nimezaliwa mjini. Kijijini kwetu Sinza.
Ushamba wanaofanya kina Lissu ni hatari leo kwa Mbowe kesho kwa wengine.
Uchaguzi umekwisha watu wanafanya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao hizi fitna zenu vibwengo wa CCM haziwezi kutuondoa kwenye focus,ni propaganda za level ya chekechea. Watu wamekwisha ku reconcile. Hii haiwezi kufanya kazi,mwambie Amos Makalla kuwa tumekustukia.View attachment 3211616
Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali.
Umeitwa mla rushwa.
Umeitwa pandikizi la CCM.
Umeitwa Mugabe.
Umeitwa Nkrunzinza.
Tumeambiwa umenunuliwa na Abdul.
Ghafla ukageuka adui wa chama na mtu usiyeitakia mema CHADEMA. Chadema yote ikaanza kukusulubu bila kuwa na ushaidi wowote, kwa nini wamekufanyia hivi?
Yote haya yamefanywa na vijana wako uliyetumia raslimali zako na upendo wako kuwalea na kuwakuza wakawa maarufu kwenye siasa.
Mwisho wake kelele za social media zikawatoa ubinadamu wakajiona wakubwa supermen, wakakugeuzia kibao wakataka kiti chako kwa nguvu wakatumia mtindo wa kukuchafua ili wapate madaraka na kweli wameyapata.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe umebaki mchafu, history haitakukumbuka kama shujaa itakukumbuka kama mwenyekiti uliyeondolewa madarakani kwa tuhuma za ufisadi na kungangania madaraka.
Lakini Mungu yupo, kabla ya uchaguzi wa 2025 atakuwa amekujibu na kukulipia kila baya walilokufanyia.
Lissu, Lema na Heche ni watu wabaya sana.
Wanaona vinaelea hawajui viliundwa. Wamekuta chama kipo nchi nzima wanaamua kukupora kwa kuchafua heshima yako uliopigania kwa gharama kubwa kuijenga.
Umedhalilika sana ila Mungu atakulipia!
Sawa mimi mshamba, lakini kamwe siwezi kumpa tuhuma mtu kamuua Mzee Kibao ili nipate uenyekiti.Wewe ni mshamba unayeishi kwa kusifia wanaume wenzako.
Ungekuwa born-town hadi sasa ungekuwa na mitikasi yako na unaishi kifaza kama wengine.
Njaa kali umekuja mjini kwa fuso, unahitaji kusifusifu upate za bando.
Uchaguzi umeisha Mbowe kaitwa kibaraka wa CCM kaitwa mlamba asali.Uchaguzi umekwisha watu wanafanya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao hizi fitna zenu vibwengo wa CCM haziwezi kutuondoa kwenye focus,ni propaganda za level ya chekechea. Watu wamekwisha ku reconcile. Hii haiwezi kufanya kazi,mwambie Amos Makalla kuwa tumekustukia.
Amesamehe na Lissu pia amekashifiwa naye amesamehe. Usipoteze muda wako hangaikeni na CCM yenu,kila mtu ashinde mechi zake.Uchaguzi umeisha Mbowe kaitwa kibaraka wa CCM kaitwa mlamba asali.