Pole Freeman Mbowe! Umedhalilishwa sana ila Mungu atakulipia

Kama alizushiwa uongo taratibu za chama zinasemaje?
Kwa nini hazijafuatwa?

Kwenye siasa ukishakuwa na makandokando ya hapa na pale, siku za uchaguzi watu watasema tuu. Ukipinga ushahidi utatolewa
Mbowe mara ngapi kasema mwenye ushahidi autoe? Hakuna mwenye ushaidi ni kuropoka tu.

Uroho wa madaraka. Watalipa kila kitu sio mbali.
 
Hivi wewe ni punguani au?
 
Wewe nenda kaandika udaku wa bongo movie huko siasa huziwezi.
 
Huu Mwandiko na maneno yake mbona ni kama ya mzee Wasira?? Ndiyo umeanza kazi rasmi?
 
Watu kama wewe vichwa vya panzi siwalaumi nyinyi mmebebwa na upepo. Ni kawaida bongo mtu akiitwa mwizi watu hawaulizi wanashambulia tu sababu ya sadism.

Nalaumu wale waliokuwa wanajua mchezo wanaoufanya.
Mim si pichwa panzi... Jenga hoja juu ya udalali uliokuwa unaendela hapo ufipa
 
Ghafla ukageuka adui wa chama na mtu usiyeitakia mema CHADEMA. Chadema yote ikaanza kukusulubu bila kuwa na ushaidi wowote, kwa nini wamekufanyia hivi?
CHADEMA yote? How? Why CCM hamtaki kutuliza makalio mkawaza KUHUSU Babu Wasira mwenye vision ya 2050?
 
Tuliwaambia mugabe hawezi kushinda mkasema lisu hana wajumbe.
Sijui nini kinachowaliza nyie machawa wake
 
Kama unampenda kaoge naye
 
Huu Mwandiko na maneno yake mbona ni kama ya mzee Wasira?? Ndiyo umeanza kazi rasmi?
Nyinyi wasaliti wa Mbowe mnampenda sana kutengeneza uongo, sasa mimi na Wasira wapi na wapi?
 
Tuliwaambia mugabe hawezi kushinda mkasema lisu hana wajumbe.
Sijui nini kinachowaliza nyie machawa wake
Kinachoumiza watanzania ni kwa nini mmemchafua Mbowe?

Yani mpaka mnasema kamuua Mzee Kibao?

Shida ni hayo madaraka tu?
 
Kama mnaona amezalilishwq mwambie ahame chama aende chama kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…