Pole Freeman Mbowe! Umedhalilishwa sana ila Mungu atakulipia

Kuna mambo ambayo tunayaweka kwenye records.

Mbowe kaambiwa kalamba asali tena bila ushahidi.
Kaambiwa alipotoka MAGEREZA kaibukia IKULU hawajui alifikaje.

Yaani MAASKOFU 3 na SHEIKH MKUU wanakwambia unahitajika Ikulu Lissu na genge lake wanasema kalamba asali.

Wanaomuunga mkono Mbowe wamekula rushwa ila wanamuunga mkono Lissu ni wapambanaji.

Lissu aliyenipa taarifa za rushwa ni mjumbe wa Kamati kuu lakini sasa ni Marehemu.Ni wazi Mzee Ally Kibao ndiye aliyekuwa akizungumziwa.

Hapa Lissu alitaka kumchafua Mbowe ni mla rushwa na hapo hapo kahusika au kashirikiana na serekali.

Kwa hakika genge la Lissu halitafika popote kwakuwa ni aina ya wanasiasa wanaweza kusema chochote bila kujali ukweli umesimama wapi.

Niko nimekaa pale.

NO REFORM NO ELECTION.
 
Mmekipata mlichokitaka, lakini maumivu mliyomuachia Old man ni makubwa sana nyinyi mtalipwa siku moja msikie kile anapitia sasa hivi.
Aliapa kuwashughulikia akina Lisu endapo angeshinda...

Upofu wako ndo anguko lako
 
Uchaguzi huu ulikuwa wa ajabu sana Mbowe alikuwa na uungwaji mkono toka kwa kunguni wa Lumumba akiwemo mleta mada na makada wengine kama Kigwangala.

Baada ya uchaguzi ukiachilia kambi ya Mbowe Chadema walioumia na matokeo ajabu tena kuna genge la kunguni wa Lumumba kama mleta mada na kina Lucas nao wameumizwa.

Siamini eti CCM wataitakia mema Chadema na waumie Mbowe kushindwa.

Ukiona adui anakusifia na kukuunga mkono rudi nyuma ujitafakari.

Mwisho wa siku kura zimepigwa live na kuhesabiwa mbele ya camera mshindi kapatikana kitu ambacho huku Lumumba hakiwezi kufanyika.

Ahsanteni wajumbe mlisikiliza sauti za wananchi.
 
Kudhalilishwa ?!
Kushindwa kwenye uchaguzi ?!
Mmmh !
 
Plan A, B na C zimefeli zote sasa wanakuja na plan F 😆
Kuna jibwege linasambaza panic huko X kuwa anataka kutimuliwa.

Anazungumza kwa scripts za kitengo akidhani patterns zitajificha😅
 
Katika tuhuma zote, ya kusema Mbowe kamuua Mzee Kibao ilikuwa mbaya sana so inhuman
 
Hawa ni wapenda vya bure, wamebutwaa hawajui maisha yao yatakuwaje bila Mwamba.
Yani mnampenda sana uongo na kuchafua wengine.

Kwa hiyo wewe unayajua maisha yangu kwamba naishi mjini sababu ya Mbowe?

Dogo, mimi nimezaliwa mjini. Kijijini kwetu Sinza.

Ushamba wanaofanya kina Lissu ni hatari leo kwa Mbowe kesho kwa wengine.
 
Yani mnampenda sana uongo na kuchafua wengine.

Kwa hiyo wewe unayajua maisha yangu kwamba naishi mjini sababu ya Mbowe?

Dogo, mimi nimezaliwa mjini. Kijijini kwetu Sinza.

Ushamba wanaofanya kina Lissu ni hatari leo kwa Mbowe kesho kwa wengine.
Wewe ni mshamba unayeishi kwa kusifia wanaume wenzako.
Ungekuwa born-town hadi sasa ungekuwa na mitikasi yako na unaishi kifaza kama wengine.
Njaa kali umekuja mjini kwa fuso, unahitaji kusifusifu upate za bando.
 
Uchaguzi umekwisha watu wanafanya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao hizi fitna zenu vibwengo wa CCM haziwezi kutuondoa kwenye focus,ni propaganda za level ya chekechea. Watu wamekwisha ku reconcile. Hii haiwezi kufanya kazi,mwambie Amos Makalla kuwa tumekustukia.
 
Wewe ni mshamba unayeishi kwa kusifia wanaume wenzako.
Ungekuwa born-town hadi sasa ungekuwa na mitikasi yako na unaishi kifaza kama wengine.
Njaa kali umekuja mjini kwa fuso, unahitaji kusifusifu upate za bando.
Sawa mimi mshamba, lakini kamwe siwezi kumpa tuhuma mtu kamuua Mzee Kibao ili nipate uenyekiti.
 
Uchaguzi umeisha Mbowe kaitwa kibaraka wa CCM kaitwa mlamba asali.
 
Kwani ni nini maana ya democracy? Mbowe kakubali kwa uchaguzi wa haki na uwazi kabisa wajinga wachache mnahisi kung'ang'ania madaraka ndo kujenga legacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…