Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Huu ni unafki kama ulivyo unafki mwingine tu, aliyeoa hakusimangwa akiwa hai bali asimangwaye ni aliyeolewa muoaji akiwa maiti...
Nikafanye nini mkuu? Mie nataka kuonana na huyo dada aliyeleta thread hapa nimempenda bwashee!Si uende msibani.
Mzee hafi kizembe na jamaa wa Msoga kagoma upuuzi huo
Yameanza kukubana, tulia kidogoNipe source ya maneno ya mzee wa Msoga au ndiye wewe
Acha kumuonea wivu yule mwanamke ulitaka mzee Mengi akuoe wew,Nimeshangaa baada ya kusoma comment yako eti Wachaga ni kabila tukufu acha kujivika utakatifu.Mimi ni Mimi na siyo mwingine.
Acha kumuonea wivu yule mwanamke ulitaka mzee Mengi akuoe wew,Nimeshangaa baada ya kusoma comment yako eti Wachaga ni kabila tukufu acha kujivika utakatifu.
Yameanza kukubana, tulia kidogo
Aika Sana. Wachagga sisi ni taifa teule Kama Israel.
Ulikuwa nao ndani kujua nani alimtangisha?
Mgonjwa hana maamuzi binafsi?
Ndo kusema kila kitu anaamua Jack?
Hebu tuacheni kujifanya wajuaji wa maisha ya watu.
Labla kwa kutoana kafara kwa kigezo cha Mali.Chagga ni kabila Takatifu. Sikalazimishi kuamini. Kama imekuuma mezea, sawa!
Mimi ni Mtanzania pure.Acha ubaguzi wewe. Waafrika sote ni sawa. Unapojadili issues usiingize ethnicity. Mnamuonea gere tu msichana mwenzenu. We you know nothing kuhusu Tutsi ethnicity. We tz mna tabu sana kila mtu mnamsema si mtz haya basi watz ni wewe na familia yako.
Labla kwa kutoana kafara kwa kigezo cha Mali.
Mimi siko mchaga so siwezi laiti kama ningekuwa hilo kabila pengine ningetolewa kafara siku nyingi hivi Ile damu mnayo kunywa KISUSIO mnaendelea nayo au mmeacha.Kama unafikiri Mali zinakuja kwa kafara, basi na wewe katoa halafu ulete mrejesho. Hakuna Mali inapatikana kwa kuua, hata ukiua na kupora hiyo Mali haidumu. Mali za laana hazidumu. Muda utasema tu. Tungekuwa tunaua tusingesifika kwa kuwa na maisha bora kupita jamii zote.
Mimi siko mchaga so siwezi laiti kama ningekuwa hilo kabila pengine ningetolewa kafara siku nyingi hivi Ile damu mnayo kunywa KISUSIO mnaendelea nayo au mmeacha.
Nimekuuliza swali kwa kukutega vizuri umekuja kule nataka Sasa kama mnakunywa damu ya ng'ombe ya binadamu lazima mnywe yaani huo mkoa inatakiwa muoane wenyewe na kafara zenu za kijinga.Hahaha, damu ya ng'ombe tamu sana. Unaweza ukanywa iliyochemshwa au ukaacha ikaganda unakaanga unakula kama maini. Kuna lingine inaitwa maini ya shingo. Tunaachaje sasa wakati ni jadi yetu Tukufu?
Aikambee unatamani Mengi angekuoa wewe hahaha Mengi alijua wanawake wa kichaga watamuua mapema ndio maana akamuoa jacline. Kama sio Jack Mengi angekufa siku nyingi sana na alishasema mwenyewe