Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Pole sana.Asante sana kwa pole mkuu
Amna, mimi sina mke sijaoa bado, naungana na wewe kuwapa polePole sana.
Pole
Pole.
Yaani ulimlipia mahari na haikuwa sealed?
😭😭😭😭😭
Daah.Amna, mimi sina mke sijaoa bado, naungana na wewe kuwapa pole
Mkuu,hizi habari ambazo ni Privacy,wewe unazipataje?Daah.
Mmoja juzi kapigwa milioni 3 na nusu plus vikorokoro vingine kibao. Halafu Binti ni number C
Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu.
Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml, 4ml na vikorokoro vingine juu.
Hizo mahari watu wa kale mnaowaiga mmewahi kusikia wamewahi kutoa kwa binti used?
Mara mkaja wa mama, mkaja wa mjomba. Sawa ni utamaduni, je, hao walioanzisha wamewahi kutoa mkaja wa maza kwa binti ambaye hana bikra?
Binti ambaye hana bikra akiolewa ni kama anasaidiwa tu yeye pamoja na wazazi wake, ikiwezekana mwanaume unaweza kudai fidia ndipo uishi naye ndani.
😭😭😭😭
Maisha hayahitaji kujipa taabu kiasi hicho, heshimu taratibu na maamuzi ya wengine. Mila na desturi ni nguzo kuu ya maisha ya jamii yoyote ileVijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu.
Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml, 4ml na vikorokoro vingine juu.
Hizo mahari watu wa kale mnaowaiga mmewahi kusikia wamewahi kutoa kwa binti used?
Mara mkaja wa mama, mkaja wa mjomba. Sawa ni utamaduni, je, hao walioanzisha wamewahi kutoa mkaja wa maza kwa binti ambaye hana bikra?
Binti ambaye hana bikra akiolewa ni kama anasaidiwa tu yeye pamoja na wazazi wake, ikiwezekana mwanaume unaweza kudai fidia ndipo uishi naye ndani.
😭😭😭😭
Kwani zamani walijuaje?Utajuaje kuwa mchuchu ni bikora kabla ya kumuoa?
Maana yake umfunue maungo na utest mitambo ikigoma ujue chuma kipo sealed ama?
Kwani hizo bikra zinatolewa na shetani?Ila Kwa sasa kupata bikira ni habar nyingine kabisa. Lbd bikira ya pili
Mimi nishaoa ndugu.Weka akiba ya maneno, huo ujinga unauona kwa wenzako upo kwako. Wakati wako ukifika utakumbuka.
Wapo wengi mkuu bikra wapo shule😁Ila Kwa sasa kupata bikira ni habar nyingine kabisa. Lbd bikira ya pili
Kwani hizo bikra zinatolewa na shetani?
Kwanini usiwe wewe ndiye umbikiri mke wako?
Bikra wako wengi tu sema mnaoa wadada wa bandia
Kweli asee. Ila kuipata ni Kwa mbinde mnooWapo wengi mkuu bikra wapo shule😁