Pole kwa vijana wajinga wote

Pole kwa vijana wajinga wote

Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu.
Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml, 4ml na vikorokoro vingine juu.
Hizo mahari watu wa kale mnaowaiga mmewahi kusikia wamewahi kutoa kwa binti used?
Mara mkaja wa mama, mkaja wa mjomba. Sawa ni utamaduni, je, hao walioanzisha wamewahi kutoa mkaja wa maza kwa binti ambaye hana bikra?
Binti ambaye hana bikra akiolewa ni kama anasaidiwa tu yeye pamoja na wazazi wake, ikiwezekana mwanaume unaweza kudai fidia ndipo uishi naye ndani.
😭😭😭😭
tuwape mimba tu au vipi hapo mkuu
 
Mnazidiwa akili na vijana wa zama za mawe.
Binti ambaye hana bikra akiolewa ni kama anasaidiwa tu yeye pamoja na wazazi wake, ikiwezekana mwanaume unaweza kudai fidia ndipo uishi naye ndani.
😭😭😭😭
Huwezi kuwa na uhakika kuwa wamama na mabibi wa zamani wote waliolewa na bikra. Hata wewe lipa mahali, oa, halafu piga kimya. Kwani bikra kitu gani bana!? Kusumbuana tu!
 
Kweli safari ni ndefu.
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa.

Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1 tu kutoka mwaka 2023.Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo la SDG la mwaka 2030.

Mapengo ya kijinsia ni makubwa zaidi katika Uwezeshaji wa Kisiasa (77.5% hayajashughulikiwa) na Ushiriki na Fursa za Kiuchumi (39.5% hayajashughulikiwa).
 
Back
Top Bottom