Pole kwa vijana wajinga wote

Pole kwa vijana wajinga wote

Kuna ng'ombe utaikuta kwenye sendoff imepiga magoti kabisa inavalisha pete malaya mstaafu!

Mimi kama nitaoa magoti lazima apige yeye, maana kuoa ni kama vile nimetoa ajira, nimemnusuru, nimejitoa mhanga kupokea mabalaa yake halafu eti nimpigie na magoti!
 
We umeona wap bikra ya million4
Bikra huwa ni ng’ombe 50,mbuzi20,kondoo30 na pesa cash million10
Sasa unataka bikra kwa bei nafuu we umeona wap
Bikra inakuja na cheti certified.
Milion 4 izo ni mahali za mabinti wa kawaida tu tena wakat mwingne ata single mother unaweza lipishwa mahari ya milion4
 
Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu.
Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml, 4ml na vikorokoro vingine juu.
Hizo mahari watu wa kale mnaowaiga mmewahi kusikia wamewahi kutoa kwa binti used?
Mara mkaja wa mama, mkaja wa mjomba. Sawa ni utamaduni, je, hao walioanzisha wamewahi kutoa mkaja wa maza kwa binti ambaye hana bikra?
Mnazidiwa akili na vijana wa zama za mawe.
Binti ambaye hana bikra akiolewa ni kama anasaidiwa tu yeye pamoja na wazazi wake, ikiwezekana mwanaume unaweza kudai fidia ndipo uishi naye ndani.
😭😭😭😭
Mkeo,Dada zako, Mtoto wako ni bikra??
 
🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom