Pole kwa vijana wajinga wote

tuwape mimba tu au vipi hapo mkuu
 
Huwezi kuwa na uhakika kuwa wamama na mabibi wa zamani wote waliolewa na bikra. Hata wewe lipa mahali, oa, halafu piga kimya. Kwani bikra kitu gani bana!? Kusumbuana tu!
 
Kweli safari ni ndefu.
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa.

Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1 tu kutoka mwaka 2023.Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo la SDG la mwaka 2030.

Mapengo ya kijinsia ni makubwa zaidi katika Uwezeshaji wa Kisiasa (77.5% hayajashughulikiwa) na Ushiriki na Fursa za Kiuchumi (39.5% hayajashughulikiwa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…