Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Kuna waliokuwepo japo walikaa kwenye baa ya jirani, nao pia waombolezaji.
 
Imekuwaje Mzee Malecela akakosa hata kampani ya wastaafu wenzake na PM aliyeko madarakani
 
Huko kwetu kuna mzee alizika namna hii, watoto walitangulizana hadi kijiji kikaogopa, alijaliwa watoto wengi lakini vijana wake wanne walianguka kwa space ya mda mfupi sana, tena wote wa kiume. Akaitwa na wazee wenzake, wakaongea, sijui kilichofanyika ila baada ya hapo bahari ikawa shwari.
 
Sasa na Dr Mwele alikuwa anagombania? Alikuwa amekosa nini?
 

Mhusika uwa anajua sababu, sasa marehemu hata familia hakuwa nayo
 
Au mzee alikuwa anawatanguliza ili yeye aishi?? Duniani kuna wabinafsiz mzee.
 
Ni zaidi ya maumivu pale unapoona watoto wa wazee wenzio wanashika nafasi mbali mbali huko serekalini halafu watoto wako unawaona wanazidi kupukutika inauma sana . Pole nyingi kwa makamu wa Raisi wa zamani Mzee Malechella
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…