Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Hakuwa mtoto wa ndoa, babayake alimkataa akiwa mdogo kuficha uzinzi wake kwa mke wake wa ndoa. Pendeni watoto wenu na HAKUNA MTOTO WA NJE USIMFICHE WAAMBIE FAMILIA KWAMBA HUYU NI DAMU YENU. R,I,P WILIAM


Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Ila hizi mambo za kuzaa nje hovyo hutesa watoto sana, lemubebez was peace sana ila ya kubaguliwa ilimtesa sana, Mimi ndio maana hushangaa watu wanaozaa hovyo hovyo na kuja kutesa watoto. R. I. P lemutuz
 
Jana Naibu Spika Zungu alikuwepo, na akaondoka mara moja Kwenda kwenye mgomo Kariakoo, kumwahi Waziri Mkuu.
RC Makala, hakuonekana kabisa, ndio alikuwa amebeba bango la serikali Kariakoo, usiku ktumbuliwa na nusu kupelekwa kusikojulikana-Mwanza.
Huko Mwanza hapawezi,na soon ataondolewa huku.Wamrudushe tu Katavi huko.
 
Duh na watamalizana wote bado na wale watoto wa mama Yao mdogo wa nje, na inakuwaje unagombania Mali za mzazi si utafte zake. Na wasiwasi na huyu mke mdogo kumaliza watoto halali
Vita sasa ni ile nyumba ya Sea view wale watoto wa Malecela na wa Kilango. Hope mzee atakuwa kaweka mambo sawa.Siku akichomoka na Anne akabaki,vita itakuwa kubwa na watoto wa Mzee Malecela.
 
Waliofariki dunia ni Senyagwa, Ipyana, Dr Irene,Dr Mwele na William.


Walio hai ni Prof Seche, Jaji Mwendwa,Tully ,Samweli na Nyagwa.Tully ni wa kuadopt.
ufafanuzi please.

huyo dr irene ni yule halfcast?..maana niliwahi kusikia kuwa mzee malicela aliwahi kuzaa na mama wa kizungu akiwa masomoni huko ng'ambo enzi za ujana wake.

mwanzoni mwa miaka ya 2000 niliwahi kuhudhuria harusi moja ya mtoto wa kike wa mzee malicela nikaonyeshwa huyo dada halfcast, she was very cute.
 
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
Kwani ni mashindano?
 
Vita sasa ni ile nyumba ya Sea view wale watoto wa Malecela na wa Kilango. Hope mzee atakuwa kaweka mambo sawa.Siku akichomoka na Anne akabaki,vita itakuwa kubwa na watoto wa Mzee Malecela.
Yani nyumba ndio inataka watoa roho kiasi hicho na huyo Anne kilango kwanini a force Mali wanawe wa mwanaume mwingine wapate si Wana baba yao
 
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
Hata babu yangu walikuwa hawavuki sitini wanakata moto karibia wote
 
Inaumiza sana kwa mzazi kuwazika watoto wako. Tunatarajia watoto wetu watuzike na sio kinyume chake.

RIP William, pole kwa familia ya mzee Malecela.
haya mambo yasikie tu, usiombe yatokee kwenye familia yako.

Bibi yangu mzaa Mama alizaa watoto 12 na marehemu mume wake. mpaka sasa wamebaki wanne tu, nane wameshatangulia mbele ya haki.yeye bado yupo hai akisumbuliwa na maradhi ya uzee.

mtoto wake wa mwisho kufariki ni wa kiume(mimi namuita mjomba), tumemzika miaka michache iliyopita. huyu ndio alikuwa icon wa familia, msomi na afisa wa shirika fulani la nje.

huyu jamaa Mungu alimbariki sana kiuchumi na alikuwa na roho safi mno.nakumbuka alimkatia Mama yake first class health insurance. yaani bibi akiumwa kidogo tu, gari inakuja kumchukua kumpeleka agakhan hospital. madaktari kama wote wanapishana kumuhudumia Bibi.

Mungu akasema ngoja nikuonyeshe,akamnyofoa na huyo ambaye ndio alikuwa stable kiuchumi kwenye uzao wake.
 
Back
Top Bottom