Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Kama ulikuwa unamsoma Le mutuz ni kwamba ndugu zake Kwa kupitia mama Yao walikuwa wanambagua na kuweka mazingira ya yeye asije kurithi chochote Kwa Baba Yao ..
So hao ndugu zake ndo hao karibu watatu wakafa kabla yake ...na kabla ya Baba yao...
Na the fact le mutuz aliwahi zungumzia watu kugombania urithi wa Baba yao huku Baba yao hajafa ...now unaona kilichotokea...ni kuwa kama waliogombania kumrithi Mzee wao..Wengi wao kama sio wote wamekufa wao.....a bit kama uchuro hivi Kwa watoto kugombea urithi wa mtu ambae hajafa ...kama ni kweli hiii ndo ilikuwa fact ... according to marehemu mwenyewe... nilivyoelewa Mimi ..
Daa kumbe?
Waswahili wengi wana roho mbaya sana
Hivi unaanzaje kuwazia mirathi au kugawa pia kwa kusemana na kulijadili

Najua mali za mirathi huwa zinaondoka na aliezichuma maana sijawahi kuona watu wamegawana kwa mvutano wakabaki nazo

Huwa zinaisha kwa mda mfupi tu
Jamani kila mtu atafute chake
 
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
Wakati mwingine hayo huwa ni maagano ambayo baba aliyaingia huko nyuma katika heka heka z kutafuta maisha ingawa hili limekaa kiroho zaid hapa watakao nielewa ni wale wa kiroho zaidi
 
Daah! Maisha haya, kama kuna atakae ishi milelee, tufikiri kua haya ni mapito pasifikie kutesana na kufukuzana kwaajili ya mali.
Yaani ndo hapo sasa,wakati kila kitu kitabaki duniani,huyo Anne nae ataliacha hilo jumba,hata wanae wataliacha.Inahitajika busara kubwa sana na Hekima katika kuona mali zote zitabaki tu.Utu kwanza mali baadae.
 
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
Inauma sana sana

Unaweza kuhisi Dunia inakuchukia
 
Huyo mama achunguzwe Kwa jicho la tatu
Huyo mama alimtoa Tatu Ntimizi,watu wote walijua Tatu Ntimizi ndo ataolewa,hadi mzee alibadili dini na kujiita Jumanne cof of Tatu,ila Anne kapambana mpaka akaolewa yeye.Mke wa ndoa nae aliugua kimaajabu alitibiwa mpaka Kigoma huko enzi zile Makamba ni mkuu wa mkoa Kigoma. Ikute mama wa watu michepuko ndo walimpiga juju. Ila mzee nae alikuwa zip wazi enzi zake ,mweh..
 
Hakuwa mtoto wa ndoa, babayake alimkataa akiwa mdogo kuficha uzinzi wake kwa mke wake wa ndoa. Pendeni watoto wenu na HAKUNA MTOTO WA NJE USIMFICHE WAAMBIE FAMILIA KWAMBA HUYU NI DAMU YENU. R,I,P WILIAM


Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Ila mbona ni wa kwanza kuzaliwa. Alizaliwa kabla hao wa mke wa ndoa hawajazaliwa. Sielewi kwa nini alimficha.
 
Back
Top Bottom