Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Aaaah sana mkuu....

Kuna mdada nilisoma nae nilienda kwake kumtembelea mtt alikua mgonjwa akawa anapigiwa simu anaulizwa vipi unaendeleaje umekula mambo kibao..vipi jioni tutoke..bi dada akasema leo sitoki si unajua mtt mgonjwa? Alipomaliza kuongea nikamuuliza kwani mr amesafiri? Akasema s yupo so nikauliza inamaana hajui mtt anaumwa? Akasema bwana huyu ni mchepuko...aisee nilishangaa nikamuuliza how come unachepuka?? Tena mumeo yupo? Akasema kawaida tuu mbona na out natoka...eti nimeshakaa nae miaka kibao kwny ndoa mambo ni mengi...mhh nikasema hayanihusu...

Nachotaka kusema si makazini tuu hata nyumbani wa kuliwa ataliwa tuuu..
Kikubwa ni kuoa mke mwenye hofu ya Mungu na mwenye kujua yy ni nani...
Mwanamke ukishaolewa umezaa una wtt unachepuka ni kama kujipaka mavi...harufu haitakata japo utaoga...
 
Huo ushauri unamfaa kijana au mwanaume ambaye Hana Malengo Makubwa katika Maisha yake

Mtu upo busy unatafuta PESA huku na huku safari kibao ,Mara south Africa ,ulaya Canada huwezi kuwa na huo Muda
 
Na sis waha tunawala sana wake zenu wa nyumbani wakishindwa kurejesha pesa kwa wakati tunapewa full food Chai,lunch kasoro dina maana utakua usharudi...

Nishawahi kufanya kazi ya kutembeza miko zanzibar hakika niliwala sana mashangazi wenye ushungi wakisikia napita mikooo,mikooo lazima waniite huku wana madera tu bila chupi tena nyumba zao nyingi zina ukuta yaani unakula kitu njeee ya geti anakuwekea kwa njee yy yupo kwa ndani......
😂
 
Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.

Ni kama mmeliwa wote sababu mliapa nyie ni mwili mmoja.[emoji23][emoji23][emoji23]

Tuachane na hayo, mwanamke akiwa na hulka ya umalaya hata umpe kiasi gani cha pesa bado atatiwa tu.

Choose your mate wisely.
 
Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani.

Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya kufanya kazi moja. Wana mishahara na posho juu lakini hawaridhiki.

Ukimpa zawadi ya kiatu cha 40k tu anaanza kukuuliza kwahiyo weekend twende wapi? Mwanamke mwenye pesa ndiye anayeongoza kupenda pesa.

Mliowafungulia biashara wake zenu wateja tukiwapa misimbazi 2 tu kwa mfululizo mara 3 anakusahau wewe mume uliyempa mtaji wa million 5.

Nini cha kufanya?

Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.

La kuongezea, Psychological mwanamke humpenda na kumtamani mwanaume anayemwona mara kwa mara, Sasa wewe mke wako kuanzia saa 1 na susu asubuhi mpaka saa kumi anamwona John tu mhasibu mwenzake ofisini unategemea John atamwacha salama?
SISI TULIMALIZANA NAO HUKU CHUONI.
NINYI MALIZANENI HUKO OFISINI
 
Na sis waha tunawala sana wake zenu wa nyumbani wakishindwa kurejesha pesa kwa wakati tunapewa full food Chai,lunch kasoro dina maana utakua usharudi...

Nishawahi kufanya kazi ya kutembeza miko zanzibar hakika niliwala sana mashangazi wenye ushungi wakisikia napita mikooo,mikooo lazima waniite huku wana madera tu bila chupi tena nyumba zao nyingi zina ukuta yaani unakula kitu njeee ya geti anakuwekea kwa njee yy yupo kwa ndani......
Ya kweli haya
 
Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani.

Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya kufanya kazi moja. Wana mishahara na posho juu lakini hawaridhiki.

Ukimpa zawadi ya kiatu cha 40k tu anaanza kukuuliza kwahiyo weekend twende wapi? Mwanamke mwenye pesa ndiye anayeongoza kupenda pesa.

Mliowafungulia biashara wake zenu wateja tukiwapa misimbazi 2 tu kwa mfululizo mara 3 anakusahau wewe mume uliyempa mtaji wa million 5.

Nini cha kufanya?

Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.

La kuongezea, Psychological mwanamke humpenda na kumtamani mwanaume anayemwona mara kwa mara, Sasa wewe mke wako kuanzia saa 1 na susu asubuhi mpaka saa kumi anamwona John tu mhasibu mwenzake ofisini unategemea John atamwacha salama?
Jambo kubwa sana nililojifunza kwenye haya maisha, kwa umri wangu huu, USIJE KUTUMIA KIPATO ALICHOKUJALIA MUNGU to take advantage of your fellow human being. Never. Unaweza kupata pesa, ukaamua kuhonga wanafunzi wa chuo, nao kwasababu hawana pesa ni masikini, wanakubali na unazini nao. MUNGU HAJAKUPA PESA ILI UFANYE HAYO, na anayo mamlaka kukunyang'anya akampa mtu mwingine. mwanamke anakuomba nauli, badala ya umpe na kuachana naye, unampa na unamtaka kimapenzi. hata kama yeye ndio atataka,jua kuwa kama unalala wake za wenzako na wewe kuna siku wa kwako atalalwa tu au mabinti zako watakuwa taken advantage vilevile.

unajifanya una pesa, ni tajiri kulala mabinti za wenzako, unaweza ukafa sasaivi ukaacha watoto yatima, ile laana ikakufuata kwa watoto wako nao watakuwa taken advantage hivyo hivyo; just think watoto wako wakija kuwa yatima alafu kuna mwanaume anawatake advantage kama wewe unavyofanya. hiki ndio kiburi cha uzima na kiburi cha pesa wanadamu tunakuwa nacho bila kujua Mungu yupo na anaweza kubadilisha maisha haya kuwa kitu kingine kabisa. sasahivi kuna watu wapo hospitalini hawawezi hata kunyanyua kiuno, wanatamani hata waongee tu ila sauti hazitoki, wanatamani hata wakae tu ila hawawezi, ila wewe Mungu amekupa uzima wote na unautumia vibaya, tuishi tukijua Mungu yupo na hajatuacha wazima tufanye hayo.

Siku zote Mungu ni mwema na anatupenda sana, anatuita hata tukiwa wachafu namna gani, anasema dhambi zetu hata zikiwa nyekundu zinaweza kusafishwa kuwa nyeupe kama sufu na atatusamehe kabisa dhambi zetu, endapo tutazitubu kwa kafara/Jina la Yesu Kristo ambaye ndiye alikufa kwa ajili ya wokovu wetu, kwa maana ya kafara la msamaha wa dhambi na kututoa kutoka kwenye utumwa wa dhambi. Neno la Mungu linasema wakati mwingine Mungu huwa anajifanya kama haoni huku akitupatia nafasi akitarajia pengine tutatubu na kugeuka, ukiona umeamka mzima na bado unafanya uovu usifikiri Mungu hakuoni au hana uwezo, anakupa nafasi nyingine na nyingine zaidi ili pengine ungetubu kwasababu anakupenda sana. Hasha kama hautatubu, ameweka siku ambayo atawahukumu walio hai na wafu pia, siku hiyo hakutakuwa na sababu ya kujitetea kwasababu tulipokuwa duniani tulikuwa na opportunity zote za kutotenda dhambi na za kumgeukia na kutubu dhambi ili tuwe wasafi.

kama deni la dhambi Yesu Kristo alishalipa hivyo hakutakuwa na mwenye kutoa sababu za utetezi siku hiyo, nafasi ipo sasa, Tazaman siku ya 'wokovu ni sasa, wala sio kesho wala keshokutwa, ni sasa kwasababu hatujui tutaishi hadi lini. unaweza kutoka hapa ukagongwa na gari hapo barabarani, utaacha vyoote hivyo, utaacha wanawake, utaacha pesa na kazi, je? utaelekea wapi? motoni au uzimani? na wala msidanganyike kama mapadre wanavyowadanganya kwamba ukifa utaombewa au kuzikwa vizuri na dhambi zako zitasemehewa, Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu, hakuna kuombewa ukasamehewa.

WAEBRANIA 9:27 imeandikwa;

27 Na kama ambavyo mwanadamu ameandikiwa kufa mara moja tu, na baada ya hapo kukabili hukumu; 28 hali kadhalika Kristo alitolewa kama dhabihu mara moja tu ili azichukue dhambi za watu wengi; naye atakuja mara ya pili, si kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngojea kwa hamu.

Nakukaribisha kwa Mungu, amekupa nafasi sasa, ukoka, kabla haujaipoteza hiyo opportunity ukaja kulia na kusaga meno siku moja. Mungu na akusaidie uijue kweli yake.

KAMA UNATAKA KUTUBU DHAMBI ZAKO, sema na mimi sala hii: Bwana Yesu Kristo, nakuamini, najua ulikufa kufanyika kafara la ukombozi wangu, na mimi ninajijua kuwa ni mwenye dhambi, ninatubu dhambi zangu kwa kumaanisha kuziacha (unaweza kuzitaja zile unazozijua), dhambi ninazozijua na nisizozijua, naomba uniokoe, unifanye niishinde dhambi, mimi ni mali yako kuanzia sasa, Kwa jina lako takatifu ninaomba, Ameni.

kama umeomba sala hii kwa kumaanisha toka moyoni, Mungu ajuaye ya sirini utamwona. pia unashauriwa kujiunga na wale wanaoamini kama wewe, ili uukulie Wokovu. Mungu mwenyewe akuongoze katika Jina la Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom