Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani.

Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya kufanya kazi moja. Wana mishahara na posho juu lakini hawaridhiki.

Ukimpa zawadi ya kiatu cha 40k tu anaanza kukuuliza kwahiyo weekend twende wapi? Mwanamke mwenye pesa ndiye anayeongoza kupenda pesa.

Mliowafungulia biashara wake zenu wateja tukiwapa misimbazi 2 tu kwa mfululizo mara 3 anakusahau wewe mume uliyempa mtaji wa million 5.

Nini cha kufanya?

Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.

La kuongezea, Psychological mwanamke humpenda na kumtamani mwanaume anayemwona mara kwa mara, Sasa wewe mke wako kuanzia saa 1 na susu asubuhi mpaka saa kumi anamwona John tu mhasibu mwenzake ofisini unategemea John atamwacha salama?
Hakuna njia Moja ya kufanya usichapiwe. Unampa hela afu anampelekea x.

Binadam sio mtu wa kuzania
 
Focus, Mwanaume unatakiwa uyajue ya kuzingatia, ili uachane na yasiyokuhusu.

Pambania future yako, weka maisha yako katika hali nzuri kwa ajili ya uzee wako.

Mambo ya Wanawake wachepukaji, waachie wenyewe watumie nyuchi zao wanavyotaka. Hasara ni kwa wazazi wao na sio kwako.

Be a Man.
Uzi ufungwe mwamba umemaliza yote. Ukiwa mwanaume mwanamke hawezi zingua. Mleta mada bado hajitambui ameandika kiuoga sana na asichojua mwanamke akiamua jambo lake halikwami na kuliwa ni dakika tano tu stori inabadilika
 
Hao wa Majumbani ndio kwamba hawaliwi? Kwa taarifa yako anaweza kukaa nyumbani, akamega hela unayompa akamhonga boya tu hapo mtaani na akaja kumkazia hapo kwenye kitanda chako, akala ugali wako, akaoga bafuni kwako na kwa maji unayolipa wewe, na taa ya umeme unaonunua ndio ikammulikia aone tundu la nyau. Akimaliza anakunywa ka juice bariiiidi ambako kametengenezwa kwa matunda ulionunua wewe na kamepoozwa ktk Jokofu ulilonunua mwenyewe. We fuata maagizo, "Ishini nao kwa Akili" Na wewe usisahau kuishi. PERIOD...
 
Na sis waha tunawala sana wake zenu wa nyumbani wakishindwa kurejesha pesa kwa wakati tunapewa full food Chai,lunch kasoro dina maana utakua usharudi...

Nishawahi kufanya kazi ya kutembeza miko zanzibar hakika niliwala sana mashangazi wenye ushungi wakisikia napita mikooo,mikooo lazima waniite huku wana madera tu bila chupi tena nyumba zao nyingi zina ukuta yaani unakula kitu njeee ya geti anakuwekea kwa njee yy yupo kwa ndani......
Kifo chako ni kibaya na cha aibu, usijisifie
 
Huwezi mzuia mwanamke asifanye yake.. Kwanza si wanawake woote wenye tabia hiyo ila nakiri wapo wenye tabia hiyo, hao ni wale wenye tamaa, wanaponzeka mnoo.

Hata wa nyumbani wenye tamaa wanatafunika kizembe mnoo na wauza chips, wauza genge, madereva na makonda wa daladala, wauza bucha, wauza mkaa, bodaboda etc, yani wao kitonga kidoogo tu wanalika.

Mwanamke analiwa kwa chipsi yai moja tu.. 😂🤣

Ukitaka amani ishi maisha yako enjoy muda wako
Just enjoy the moment
 
Just enjoy the moment
Moja kati ya vitu VYAKIPUMBAVU! ni kupoteza muda wako kumuwaza mkeo
Kama wewe unavyoweza kulala na yoyote hat yey anaweza pia
Akiamua kutywombwa fresh tu
Ukijua unapiga chin maisha yanaendeLea
 
Shimo ni la kwake kinachokuuma wewe ni Nini

Mwache maana huwezi mzuia hata Kwa njia gani akiamua anachakatwa tu

Tena waweza msindikiza kumbe ana miadi ya kudinywa

Cha maana hakikisha ukiwa naye unamchakata saizi yako


Ukishaondoka waachie wenzio

Ndiyo maana tukianza kufanya hivo wanaanza kulalamika

Wanaume wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usijipe stress na kishimo wewe hicho ni chake
 
Shimo ni la kwake kinachokuuma wewe ni Nini

Mwache maana huwezi mzuia hata Kwa njia gani akiamua anachakatwa tu

Tena waweza msindikiza kumbe ana miadi ya kudinywa

Cha maana hakikisha ukiwa naye unamchakata saizi yako


Ukishaondoka waachie wenzio

Ndiyo maana tukianza kufanya hivo wanaanza kulalamika

Wanaume wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usijipe stress na kishimo wewe hicho ni chake
Ahahahah.
Sasa ukinikuta juu yake usinichome kisu 🤣🤣🤣🤣
 
Mwanamke hajulikani nn Anataka hapa Duniani kwahiyo waache tu wafanye wanavojiskia kufanya but, ili kupunguza ukali kidgo bc hakikisha unaowa mwanake mwenye Imani ya mungu bc
 
Back
Top Bottom