GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 31, 2024 Thread starter #41 Unavoidable Servant said: Alikuwa katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akatapeli pesa wakamtumbuwa. Click to expand... Ukaribu wake ( hasa wa kupitia Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete ) ndiko kulimuokoa ila ilikuwa aende Kuozea Jela.
Unavoidable Servant said: Alikuwa katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akatapeli pesa wakamtumbuwa. Click to expand... Ukaribu wake ( hasa wa kupitia Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete ) ndiko kulimuokoa ila ilikuwa aende Kuozea Jela.
Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,167 Reaction score 1,848 Jul 31, 2024 #42 Manara hana pa kushika ,zaidi ya YANGA, THATS WHY anatumia nguvu nyingi kulinda kibarua...ingawa yanga wanajua kuwa ni SIMBA DAMU ..
Manara hana pa kushika ,zaidi ya YANGA, THATS WHY anatumia nguvu nyingi kulinda kibarua...ingawa yanga wanajua kuwa ni SIMBA DAMU ..
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 21, 2025 #43 Barbiedoll said: Naweza kuamini kuwa yanga wamemtosa Kuna siku niliona ameandika instagram akiwalaumu viongozi wake wa yanga kushindwa kuingilia kati sakata lake la kufungiwa! Ali kamwe anatosha sana yanga! Click to expand...
Barbiedoll said: Naweza kuamini kuwa yanga wamemtosa Kuna siku niliona ameandika instagram akiwalaumu viongozi wake wa yanga kushindwa kuingilia kati sakata lake la kufungiwa! Ali kamwe anatosha sana yanga! Click to expand...