GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Ukaribu wake ( hasa wa kupitia Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete ) ndiko kulimuokoa ila ilikuwa aende Kuozea Jela.Alikuwa katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akatapeli pesa wakamtumbuwa.