GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wadudu mmetisha sana kumkata huyo mtesi wa Lema japo najua mmejihangaisha Bure tu maana mwaka huu hakuna uchaguzi
 
Na Gambo alikuwa hajali chama wakati wa unyanyasaji wake enzi zile akiwa RC na akiutamani ubunge. Alinyanyasa hadi CCM wenzie kutafuta political milleage. Hakika nimeamini karma haikoseagi njia. Kuna watu walipata presha, sukari kwa hasara walizosababishiwa na Gambo. Ana Roho mbaya sana huyo kijana, tena ni mbinafsi mwenye hila na fitna
 
Maneno mengi lkn huna pointi ya msingi. Ukabila tu umekujaa.
 
Sio yeye tu peke yake bali hivyo ndivyo walivyo humo Chamani !
Ni mwendo wa kuliana taimingi tu !
Ukizubaa wanaku Kilwa 🤣🤣😅🤷🏿‍♂️ !
 
Haya ni mambo ya uongo ukirudiwa mara nyingi, ugeuka kuwa ukweli kwenye jamii tu.

Samia hana mgombea wake.

Hakuna promotion za bure, hizi ni nadharia Makonda anazouza tu JF kama vile katumwa kugombea.

Kila uchao anajianzishia mada za kujikuza (pathetic) na watu anaowalipa humu.

Gambo anamsubiri kwa wajumbe.
 
Hapo unaongea utumbo kiongozi! Kama kwenye majina matatu yaliyotangazwa na kamati ya siasa ya mkoa jina la Gambo halimo hiyo ndiyo nitolee! Halmashauri kuu haitashughulika na majina yaliyo nje ya hayo matatu!
 
Gambo ni brand kubwa hata kama hatarudi bungeni kwa kupigiwa kura kuna nafasi kumi za rais kama anamhitaji atamteua na kuna ukuu wa mkoa anaweza akapata tena
 
Haya mambo ya uongo ukirudiwa mara nyingi, ugeuka kuwa ukweli ni kwenye jamii tu.

Samia hana mgombea wake.

Hakuna promotion za bure, hizi ni nadharia Makonda anazouza tu.

Gambo anamsubiri kwa wajumbe.
Yale ya Kigamboni kujirudia ?!
Ngoja Tusubiri tuone. !
And this time it’s gonna be bye bye 👋
No turning back again 😳 !
 
Gambo uwezekano wa kuwepo haupo Alisha ingia kwenye conflict na mkwe wa Raisi pia ana uhasama mkubwa na makonda watu wote hao Kwa pamoja ni second hand wa Mama Samia , So do you think hiyo chance ataipata wapi !?
 
Arusha amkeni! Kuchagua chasaka kuwa mbunge wenu wa Arusha mjini ni kuwadhalilisha wameru, waarusha na wachaga.

Hao chasaka hawajui na hawajali lolote juu ya shida na mahitaji ya waarusha, bali wanajali maslahi yao tu.

Kataeni kutumika kuwapa ulaji wakuja.

#vote no for alle /aliens
 
Unaongea mengi lakini unasahau kwamba kura yako ni token tu! Makonda hategemei kura za kuhesabiwa kwenye debe!
 
Unaposema mama hana mgombea unamaanisha nini Mkuu ?.

Mwanasiasa huwa akiongea hamaanishi bali akitenda this is world wide
 
Kama Gambo analipa maana yake Makonda hadaiwi
 
Watu mna vituko mnaaiangalia chadema badala ya wananchi wataopata taabu miaka 5 mbele ...chadema kukosekana kwao ni athari kubwa kwa nchi bubge jingine lisilo na kitu linaenda ..pia cdm haiwez kufa ipo mioyoni
 
nafikiri makonda yupo overrated Sana .

Na unafikiri wapinzani hawayajui yote hayo Mkuu

Tatizo mfumo uliopo haumruhusu mpinzani kugombea na kushinda .

Ikiwa yatapatikana mabadiliko basi uchaguzi utaleta maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…