GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaposema mama hana mgombea unamaanisha nini Mkuu ?.

Mwanasiasa huwa akiongea hamaanishi bali akitenda this is world wide

View: https://m.youtube.com/watch?v=LPFu-PM1pys&pp=ygUhUmFpc2kgc2FtaWEgc2lqYXR1bWEgbXR1IGt1Z29tYmVh
Mbona ‘bi-tozo’ kaweka wazi yeye ana nafasi zake 10 za teuzi. Hana sababu ya kutuma mtu na hatotuma mtu,

Mpaka sasa nafasi aliyoitangaza ni moja tu (be it indirectly) ya Chalamila her new favourite stooge.

Kwanini unadhani Chalamila hajachukua form Iringa mjini. Hata ‘Bi-Tozo’ alijua hawezi mshinda Jesca hakuna sababu ya kupoteza muda.
 


We jamaa , ikiwa unawaamini wanasiasa kila wanachoongea basi utakuwa unashida kubwa sana kichwani na utakuwa na akili ndogo Sana .

Kama nilivyokuambia mwanasiasa usimpime kwa maeneno yake Ila matendo.
 
 
Pumbavu wewe achana na makonda alale na wapumbavu kama wewe mbele..


Licha ya kasoro za makonda ila ni Kiongozi
 
We jamaa , ikiwa unawaamini wanasiasa kila wanachoongea basi utakuwa unashida kubwa sana kichwani na utakuwa na akili ndogo Sana .

Kama nilivyokuambia mwanasiasa usimpime kwa maeneno yake Ila matendo.
Mnatabia ya kuamini vitu ambavyo havipo. Hata ushahidi unapokuwa mbele yenu.

Hapa ndipo ninapoonekanaga mkrofi at times, kwa sababu muda kujibizana na mtu ambae akubali stated facts with evidence; kwangu ni adhabu.

You win (in other circumstances, you do know by now ningekuwa nishakuita taahira)

👋
 

Mwaka 2020 - Mgufuli aliongea kauli Kama hii.

Ila wajumbe wakapiga kura zao wakamaliza .

Baadae Magufulia alichukua Cream zake anazoamini zitamfaa .

Alimchukua Katambi huyu alipata kura 3 katika kura maoni

Alimchukua Byabato huyu the same


N.k


Ukisema Rais anakuwa hajamtuma MTU kisa tu kaongea unakuwa hauelewi.

Magufuli mwenyewe katika kampeni kahama alisema wazi kuwa katambi aliacha UDC nikamwambia aende kahama kutafuta ubunge .

So ikiwa hauelewi siasa hauwezi kujua ukweli ni upi na kipi MTU huwa anaamisha anapoongea .
 
Bi Tozo alimwambiaje mkuu wa Mkoa Kuhusu Spika Tulia?
 
KARMA is a two way traffic . It HITS back aggressively !!
 
Hivi mara ngapi mimi humu nimesema kilichotokea 2020 kwenye ukataji kilikuwa kipya kwa CCM (sina sababu ya kuelezea sababu za CC kukata) mpaka uone makosa ya 2020.

Halafu hayo mambo hayana uhusiano na situation ya mada.

Samia amerudia mara kadhaa nafasi ya ubunge wa Chalamila.

Ni hivi tuache, saa zingine kuzungumza siasa na watu wasiopata cue au kujua history ya muda mfupi tu nako ni adhabu.

Unataka nianze enhe ‘Msambatavangu’ alikuwa team Lowassa 2015 na mwenzako johnthebaptist wakasimamishwa chama
(you do know hao walikuwa wenyeviti wa mikoa CCM 2010-15)

Leo hii godfather wao ndio katibu mkuu CCM and incoming VP.

Huo muda wa kujadili siasa za kitoto na wewe sina.
 
Siasa zako ni za kitoto ambazo unachambua .

Kwakuwa Rais ana njia zake tofauti za kupata cream ikiwemo na hiyo

Mpaka hapa anajua nani anamtaka ulitegmea aseme kuwa kuna watu kawatuma ??

Iikiwa mtaendelea kuamini kauli za wanasiasa ndo mtaendelea kuambiwa Kuwa Tunafanta vizuri kiuchumi kuwazidi marekani.
 
Kwamba kwa akili zako za kuzaliwa tu, hizo za shule sina uhakika kama unazo, Rais Samia anaweza kusimama hadharani akasema nimewatuma watu fulani? Ushawahi kuona serikali ikakiri hadharani kuteketeza watu? Ila ukweli unajulikana kwamba hayo mambo yapo na mikakati haitajwi hadharani kwakuwa haipo kisheria, hata amri za wakuu huwa nyingi hazipo kisheria ila zinatekelezwa.
Kwa taarifa yako wapo wengi tu wana baraka za mkuu wao kwenda sehemu fulani kutekeleza mkakati wao ikiwemo Arusha kwa Gambo.
 
Gambo ni rafiki yangu wa karibu, ila ana ulimbukeni fulani, atarudishwa tu huko Wilayani au ukuu wa Mkoa, basi ndo mwisho wake, ccm are loyals kwa watu wao
 
Bora umemuelezea

Unajua wabantu hatuna uwezo wa kutambua kilichopo nyuma ya kauli ya MTU .

Ndo maana unakuta MTU anashindwa kuelewa uongo na ukweli na katika siasa hata. Katika maisha ya kawaida
 
Bora umemuelezea

Unajua wabantu hatuna uwezo wa kutambua kilichopo nyuma ya kauli ya MTU .

Ndo maana unakuta MTU anashindwa kuelewa uongo na ukweli na katika siasa hata. Katika maisha ya kawaida
Watu wanaweza kupoteza mtu halafu wakajitokeza hadharani wakasema wamesikitishwa na kilichotokea na wanalaani na wakaapa kuwakamata wote waliohusika, Sasa kasubirie uone kama utaona kitu kikifanyika. Haya mambo mengine yamemzidi kimo, Labda akajishughulishe na Natural Science ila hii Science ya Siasa waachie wenyewe hawahitaji maabara.
 
Huyo Katambi ana kitu gani hadi Rais atake awe mbunge.?

Au ni mwenzetu?
 




Mtaani kwetu tuna msemo ‘sawa kusoma hujui, basi atapicha uoni’.



Wale waruka pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…