Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
JidanganyeHizi ni jitihada tu za propaganda mfu (kujipa umuhimu ambao watu hawana) ili kuwashawishi wajumbe ionekane kama vile Makonda ana backup ya Samia ili wamuone kama vile ni pendekezo la chama.
Bi-Tozo kaweka msimamo wake wazi na adharani ajatuma mtu jimbo lolote au kwa njia nyingine yeyote ya kupewa ubunge.
Mbona raisi kaweka wazi yeye ana nafasi zake 10 za kuteua wabunge, anaemtaka atamuweka huko ndio maana Chalamila hakuchukua form.
Vinginevyo huko mtaani ni gombania goli, hakuna alietumwa na Samia wala CCM.
Hakuna mtu alietumwa na Samia, if anything vigogo wa sasa CCM wamezichoka tabia za Makonda.
Mna namna yenu ya kufikiria majina hayajaenda kamati kuu, Amos Makalla akatangaza rasmi waliopita kwenda wajumbe.Jidanganye
CXhuga mmenifurahisha, naomba jioni tukutane pale NgarenaroMwana kulifind mwana kuligaet, kile upandacho ndicho uvunacho, tusalimie tabora bwanamdogo. Ulijisahau sana ukadhani upo korogwe
JidanganyeMna namna yenu ya kufikiria majina hayajaenda kamati kuu, Amos Makalla akatangaza rasmi waliopita kwenda wajumbe.
Nyie wenzetu mnajua tayari orodha itakayo tangazwa sasa unabishana vipi na mnajimu ambae kesho ona matokeo kupitia ‘crystal ball’.
Sisi wengine tunasibiri orodha ya Makalla kama authority source.
Washakata shingoAlikuwa anashadadia vijana kujiajiri aje sasa huku Upoponi awe wa kwanza kutekeleza alichokuwa anashauri
HahahaAlikuwa anashadadia vijana kujiajiri aje sasa huku Upoponi awe wa kwanza kutekeleza alichokuwa anashauri
Ni hivi kama kuna dosari zitarekebishwa ni mfumo mpya lazima una mapungufu na wao huko CC wanajifunza.Jidanganye