Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

Asante
JamiiForums2003818952.jpg
 
Kitandani kwangu nna mito mikubwa mi4 na midodo miwili nikigeuka huku mto miguuni mto mwingine katokati ya miguuu kwahiyo silali pekeangu nalala na mito 😅😅😅

Ila kulala mwenyewe daily kunachosha basi tunajikaza
 
"Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto?"
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~Mhubiri 4: 11~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
 
Kitandani kwangu nna mito mikubwa mi4 na midodo miwili nikigeuka huku mto miguuni mto mwingine katokati ya miguuu kwahiyo silali pekeangu nalala na mito 😅😅😅

Ila kulala mwenyewe daily kunachosha basi tunajikaza
Sitak kuamin uko single aisee, mana huna mapepe 😁

Natabiri utapata mtu soon uachane na hyo mito
 
Back
Top Bottom