Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

Kuna comment moja niliona humu mtu kaandika "nimeoa japo sio kiviile"

Huyu sijui ana maana gana mhh maisha haya!
 
Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.

Yanakuja na majukumu, karaha na uvumilivu, kuna siku utataman ulale mwenuewe, kaa hapo hapo wala usibishe, utakuja kuona.
 
Back
Top Bottom