Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.
Natakiwa kusema I receive πππSitak kuamin uko single aisee, mana huna mapepe π
Natabiri utapata mtu soon uachane na hyo mito
Weee yakweli haya?"Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto?"
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~Mhubiri 4: 11~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Poleni na ninyi mnaolala wawili
Kuvumilia kijambo cha mtu mzima nacho mtihani..
Usiniambie upo single mkuuUnafurahia kujambiwa?
Rahagani?Kuna raha yake pia.