Poleni Sana DC na DED Mliotimuliwa: Kesho Watoto wenu wataenda Shule kama watoto wa Mwananchi wa Kawaida

Naona unawahurumia CCM
Ungesikia sababu ya kufukuzwa kwao ni kosa la wananchi kurudisha kadi za CCM wala usingeandika hekaya hii.

Wizi na ubadhirifu kwenye miradi ni utamaduni unaolindwa na mamlaka ndo maana CAG naye ni mbadhirifu kwa kutumia fedha za umma kukagua mambo ambayo hayana tija kwa serikali yetu.

Waache wafu wawazike wafu wao
 
Kama walikuwa hawajachukua Chao mapema kama ilivyo kauli mbiu ya siri ya chama
yaani (Chukua Chako Mapema) basi itakuwa ni uzembe wao.
 
Kwani familia zao hazihitaji huruma? Kwanini unakuwa mkatili kiasi hiki?
 
Duuuh [emoji134]
 
Huko Mbeya Mhe rais kasema kuna upigaji wa hatari
 
Kwani familia zao hazihitaji huruma? Kwanini unakuwa mkatili kiasi hiki?
Wao ndiyo vinara wa kuhurumia familia zao kwa kujiepusha na matendo yanayokiuka maafili ya utumishi wa umma.

Nasemaaa
Nasemaaa, maDC wapewe kinga ya kushtakiwa🤣
 
Kila muajiriwa iwe ya kudahiliwa au ya kuteuliwa wasiwe wanatumbuliwa bila utatibu. Anayetuhumiwa apewe haki ya kusikilizwa ili kuzuia huu uonevu.
 
Nimpe big up Mh Rais kwa maamuzi hayo mazuri,DC huyo mpuuzi sana kazingua sana toka akiwa Uvinza hata kusababisha vifo na migogoro mikubwa kati ya wakulima na wafugaji yeye alikuwa anataka chake tu na apekuliwe ac zake
Ndio tabia zake hizi kumbe?
 
Hiyo 40% ni kwaajili ya miaka mingapi?
 
Hahaha hivi kweli unaamini Kuwa hawana Mabiashara makubwa tu na vyanzo vizuri tu vya mapato kipindi chote hicho walichokua wanachukua mishahara mizuri
 
Mban vitu vya kawaida hvyo alfu unaonekana ujui vitu

HV ushawi kusikia balozi anasomeshewa had watoto
 
Waluambiwa wake Kwa urefu wa kamba zao, DC kakata kamba anakula Zaidi
 
Wametimliwa UDC sjui na unini Afu wamerudi kwenye majukumu yao ya zamani, kama alikuwa dr, teacher, engineer si wanarudi kwenye nafasi zao before wakue those kind things ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…