mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
Upo halmashauri ipi?hali ni mbaya sana mkuu wangu
Mshahara unaisha siku umeingia.naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.
ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni,stress na uduchu wa mishahara...
Duuuh!...[emoji119] Inamaana huelewagi kauli "heri kupata kitu kuliko kukosa kabisa"?naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.
ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni,stress na uduchu wa mishahara.
hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.
Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
Au heri nusu shari kuliko shari kamiliDuuuh!...[emoji119] Inamaana huelewagi kauli "heri kupata kitu kuliko kukosa kabisa"?
Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
sio poah kaka,unaishi kama dalaliMshahara unaisha siku umeingia.
Halmashauri.
jipe moyo ,ila kama bread winner unajua nacho maanishaDuuuh!...[emoji119] Inamaana huelewagi kauli "heri kupata kitu kuliko kukosa kabisa"?
Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
nitafanya hivo mkuuFungua kibanda cha chipsi uajiri kijana
Acha kabisa mzee, Ndio maana watu wakipata mwanya wa kupiga wanapiga kwelikweli.sio poah kaka,unaishi kama dalali
waboreshe maslahi ya watumishiAcha kabisa mzee, Ndio maana watu wakipata mwanya wa kupiga wanapiga kwelikweli.
Maisha ya Halmashauri changamoto sana.
Watu wengi hudhani walimu pekee wana maslahi madogo ila kiuhalisia ukifanya kazi chiylni ya halmashauri basi lazima uisome nambanaelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.