Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Ukifika halmshauri wote wamenuna..... Njaa kali. Majukumu tembo mshahara sungura!

Wengi wanapambana kuhamia utendaji wa kata ili wake rushwa
Kuna manzi anatoka ualimu anaenda kuwa afisa usafiri halmashsuri. Mkurugenzi kampitisha, ila afisa elimu akamshauri sana bora abaki kwenye ualimu. Ila mwalimu kakomaa aende halmashauri. Kwa maelezo ya wazoefu wa halmashauri ni kama hakuna unafuu wowote atakaopata akienda halmashauri
 
Bora ujiajiri hata bodaboda kuliko kufanya kazi halamashauri.
 
Kuna manzi anatoka ualimu anaenda kuwa afisa usafiri halmashsuri. Mkurugenzi kampitisha, ila afisa elimu akamshauri sana bora abaki kwenye ualimu. Ila mwalimu kakomaa aende halmashauri. Kwa maelezo ya wazoefu wa halmashauri ni kama hakuna unafuu wowote atakaopata akienda halmashauri
Ualimu ana tgts ipi na uafisa usafiri tgs c1 Kwa dip!

Atapata chenji ya mafuta ya misiba, misafara ya mwenge na mitihani.
Atashirikiana na wauza mafuta kuandika Lita hewa.
Atakuja kuwa mchepuko wa dereva wa mkurugenzi au dt
 
Back
Top Bottom