Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Hari ni tete Sana, unachoweza kufsnya ni kupunguza matumizi, kula Milo miwili kwa siku, usiku unapiga ndeefu, ndizi mbili za kuiva unalala, acha bia,kuonga, nk, Bora wewe unapakujishikiza, hata salary ikichelewa, itakuja tu! Sasa kuna wingine,akina sie, ni kama mbwa! God Aki bless, unapata kitu, bila hivyo ni kusaga rami, tumekaa walipoolewa Dada zetu, mpaka, inaleta msongo wa mawazo
 
pole sana mkuu,i feel ure pain
 
naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.

ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni,stress na uduchu wa mishahara.

hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.

Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani

Bora kubeti kuliko kufanya kazi halmashauri
 
Back
Top Bottom