Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

mkuu umeongea fact tupu
 
Kumbe kuandika machapisho kunalipa sana mkuu, chapisho moja ni bei gani?
 
Hawa jamaa wa TGS.C na TGS.D wana msongo sana wa mawazo ndio maana wana hasira sana hata huduma zao ni za hovyo wameandamwa na stress na madeni
Kwa hali ya sasa ya maisha na mfumuko wa bei mshahara hautakiwi kupungua 2M kama take home. Kiukweli unaweza uka save na kufanya mambo mawili matatu kwa ajili ya familia.

Ningekuwa Raisi ningeweka huo mfumo kada ya chini kabisa walipwe 2M kwa standard ya maisha ya sasa.Tatizo hatuna wafanya tathmini mishahara inalipwa ilimradi tu.

Sema baada ya hapo ningeweka strict controls za kazi na ufisadi. Ukikamatwa umeenda na maji.
 
Mishahara haiendani na uhalisia wa gharama za maisha

Hii mishahara inawafanya watumishi wengi wapoteze hata morale ya kazi

Mfano kama hawa wa TGS.D (765,000) wakikopa benki milioni 12 tu baada ya makato ya benki na mengine wanabakia na mshahara wa 300k

Imagine miaka 3.5 analipwa 300k ili amalize mkopo wa 12mln

Hiyo 12mln ya mkopo kaishia kununua kiwanja tu

Bado hajakopa ya kuanza ujenzi kmmmk
 
Shida, Rais gani anaweza fanya hvyo!!
 
Ualimu ana tgts ipi na uafisa usafiri tgs c1 Kwa dip!

Atapata chenji ya mafuta ya misiba, misafara ya mwenge na mitihani.
Atashirikiana na wauza mafuta kuandika Lita hewa.
Atakuja kuwa mchepuko wa dereva wa mkurugenzi au dt
Noma sanaaa .......watu wamekulana kimasihara huko
 
Halmashauri YENU tu ndio mna madeni ila Kuna halmashauri nyingine watu wanapeta tu
 
Inategemea na Halmashauri ipi inafanya kaz maana kuna Halmashauri nyngne Watumishi zao wana maisha mazuri kwa sababu wanakudanya mapato mengi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…