jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kuna wakati nilikuwa Manispaa fulani kubwa kuliko Manispaa zote Tanzania, lakini maslahi yake hayakuti baadhi ya Halmashauri za wilaya nchini.
Mfano Manispaa ya Iringa huwezi linganisha na Halmashauri ya Mufindi au Njombe kwa maslahi.
Ni akili ya mtu na bahati tu
Maslahi ama mshahara?mana kama mishahara inafanana. Sema kuna halamashauri wanatoa hadi posho za sikukuu,ila kuna zingine ni mwendo wa kukopwa tu.