Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Kuna wakati nilikuwa Manispaa fulani kubwa kuliko Manispaa zote Tanzania, lakini maslahi yake hayakuti baadhi ya Halmashauri za wilaya nchini.

Mfano Manispaa ya Iringa huwezi linganisha na Halmashauri ya Mufindi au Njombe kwa maslahi.

Ni akili ya mtu na bahati tu

Maslahi ama mshahara?mana kama mishahara inafanana. Sema kuna halamashauri wanatoa hadi posho za sikukuu,ila kuna zingine ni mwendo wa kukopwa tu.
 
Mkiambiwa mfanye self employment hamtaki, mnataka kazi zenye status ilhali mifuko inapauka tu, msisahau fainali uzeeni.
 
Taifa ambalo kila mtu anatafuta nafasi ya kupiga akipata mwanya huko mbeleni itakuaje?
 
Nimesoma comments za waja humu mimi kama mwananchi wa kawaida nasikitika sana kuona mja mwenzangu anafurahia kupangwa kitengo cha kumkamua mja wa kawaida kama mimi ambae hata kula yangu ni shida. Vitengo kama TRA, afisa biashara, bwana Afya nk
 
Kwa upande wa wataalam sijajua; ila ubora wa halmashauri huwa ninaupima kwa mapato ambayo ndiyo hutoa picha halisi ya mzunguko wa fedha.

So bila shaka arcticture inaweza ikawa inalipa japo sijawahi kufika huko.

Mafinga ninadhani kuko poa. Ninavyofahamu, miji ya Njombe, Makambako na Mafinga haichani sana na ni miji inayokuwa kwa kasi kuliko hata Moshi na Songea.

Kwa hiyo eneo lile ni nzuri kwa mtu anayeona mbali.
Kwa kujitafuta Mafinga ni sawa ila kwa mslahi ya kazini Mafinga ni BIG NO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa kujitafuta Mafinga ni sawa ila kwa mslahi ya kazini Mafinga ni BIG NO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Ila maslahi ya kazi ni pamoja na uwezekano wa kukutafuta.

Kuna mtumishi aliwahi kuhamishiwa Kilindi akitokea RS ya Tanga. Mwanzoni aliona tabu kimaslahi ila alipofika kule alianza kutamani asihamishwe baada ya kuanza kulima kwa mafanikio makubwa.
 
Ila maslahi ya kazi ni pamoja na uwezekano wa kukutafuta.

Kuna mtumishi aliwahi kuhamishiwa Kilindi akitokea RS ya Tanga. Mwanzoni aliona tabu kimaslahi ila alipofika kule alianza kutamani asihamishwe baada ya kuanza kulima kwa mafanikio makubwa.
Pwani wavivu ni wengi na money supply ni ndogo.
Kutoboa ni shida sanaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe unaingia kazini saa mbili hadi saa kumi au kumi na moja, muda wa kazi ya ziada/biashara utaupata wapi? Labda utafute/ukope mtaji utafute atakaye simamia mradi. Swali langu jingine, je kila mtu mfanyakazi akiingia kwenye biashara wanunuzi ni wake na nani. Ndiyo maana hadi sasakuna wachache wanafanya biashara na wengi wanategemea kazi. Mimi nategemea kazi!
Wewe huna ujualo. Halmashauri ipi Tanzania wanaingia kazini saa 2 na wanatoka saa 11 jioni? Acha ujuaji.
 
Halamshauri nadhani ndio sehemu haina utaratibu serikalini.
Unakuta idara moja wao wanajilipa Poshi kila siku ila nyingine haina posho mwaka mzima na kazi watu wanafanya.
Hata OC tu zinazotoka serikali kuu kuna halmashauri wanapata hela nyingi wakati nyingine inapata kiduchu na zote DED anapita nazo.
KIukweli Halmashauri serikali iziangalie sana
 
Back
Top Bottom