Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Mshukuru Mungu kama amekupa kipato cha kudharau binadamu wenzio! nakufahamisha tu hata Said Salim Bakhresa alikuwa machingaMtu anayetetea machungu hajielewi imagine hawalipi Kodi, wanaziba barabara na mitaro wanachafua mji na wako kila corner halafu waachwe in the name of wanyonge, pia hao machinga walikuwa wanapata faida kubwa vile hawalipi Kodi, mambo ya OSHA na Kodi kibao. Mimi natamani jiji zima lisafishwe barabara ziwe clean na waende sehemu zilizotengwa kihalali
Mkuu acha kutetea watu wasiofata sheria za mipango miji na ulipaji Kodi kisa eti ni wanyonge wajenge juu ya mitaro vibanda vya mbao na maturubali mabovu kila kona then waachwe tu na serikali iwataftie masoko wakati yapo hawataki kutumia wanafata uraisi na kukwepa Kodi, sijawahi ona nchi inayoruhusu machinga kila corner huku wakikwepa Kodi, imagine airport ya dar Ile ni image ya nchi ukitoka tu airport barabarani unakutana na vibanda vya mbao na maturubali yaliyochokaa na unataka tu serikali iwaache tu, wao ni kina nani?Tatizo sio kuwatoa bali mnawapeleka wapi?
Hizo sehemu mnapozipeleka kuna wateja watao waingizia kipato cha kujitosheleza kwa mahitaji yao ya msingi na familia zao.
Kuhusu maduka sijajua haya maduka ya GSM na mengine makubwa, ila maduka karibia yote pale KKoo hawalipi kodi inavyotakiwa.
Magu hakuwadanganya alishawahi kusema, tena mbele ya wakuu wa mkoa kwamba mkiwatoa hawa wawekeni kwenye mazingira ya uhakika ili waweze kufanya biashara zao.
Hawawezi kuvivunja mchana kutatokea fujoNashangaa baadhi ya wachangiaji hawaoni kuwa ili ni Tatizo ishu sio kuvunja ishu kwenda saa nane usiku au saa 9 kama wanavyodai na kuchukua mali zao au walikuwa ni vibaka
Nani kawatetea?Mkuu acha kutetea watu wasiofata sheria za mipango miji na ulipaji Kodi kisa eti ni wanyonge wajenge juu ya mitaro vibanda vya mbao na maturubali mabovu kila kona then waachwe tu na serikali iwataftie masoko wakati yapo hawataki kutumia wanafata uraisi na kukwepa Kodi, sijawahi ona nchi inayoruhusu machinga kila corner huku wakikwepa Kodi, imagine airport ya dar Ile ni image ya nchi ukitoka tu airport barabarani unakutana na vibanda vya mbao na maturubali yaliyochokaa na unataka tu serikali iwaache tu, wao ni kina nani?
Tena machinga wengine wewe umepanga eneo ushuru na tra unalipa then wao wanakuja kupanga bidhaa zao mbele yako hivi unafikiria nani atauza tena wanaweka bei ndogo vile hawana gharama za kuanzia kukodi
Madhara gani wewe jizi kuuSio kuwadaganya jiwe alizingua kuwaruhusu kufanya biashara kokote na hii ilikuwa ina madhara mengi, wakati wa kikwete hakukuwa na machinga wa hovyo, so kuwaacha tu kuendelea kuharibu kisa uccm inachafua miji na kupunguza walipa kodi
Naona anayejaribu kuwakosoa majinga hakiri hana ila amepata teuzi bila teuzi huwezi kujifanya kipofu MUNGU ANAKUONAMshukuru Mungu kama amekupa kipato cha kudharau binadamu wenzio! nakufahamisha tu hata Said Salim Bakhresa alikuwa machinga
Kila mtu ana mahitaji ya msingi ya familia, so kutokufata taratibu za mipango miji na kuchafua miji hyo haukubaliki, halafu masoko yako mengi huko ndio ilikuwa sehemu Yao nakumbuka enzi za mkwere machinga walikuwa hawauzi popote migambo ilifanya kazi yao, so machinga wasiji one vulnerable kwa kutaka huruma kila mwananchi anapambana na Hali yake ya maisha, na hamna kitu kirahisi duniani.Nani kawatetea?
Sawa tuna watoa, je tunawapeleka kwenye maeneo gani, ili nao wapate mahitaji ya msingi na familia zao.
Au tuwatoe halafu tuwaache wapambane na hali zao.
Koma kuniita jizi wewe mbugila lazima machinga waende kwenye masoko yaliyopangwa na serikali, wewe mwenyewe waweza acha kwenda wash room ukaenda kujisifia barabarani?Madhara gani wewe jizi kuu
Kwani machinga wateja si anatafuta mwenyewe kwanini umpangie pakwenda tumia akili machinga anamtaji mdogo lazima awatafute wateja au wewe ulikuwa fisadi umewahi kutafuta hera au umepigwa teuzi
Ndo maana unaropoka sana !!!
Nani aliwapa vitambulisho,hivi huwezi kuwaza na kugundua kuwa tatizo lilianzia wapi?Wapinzani tunazingua kila kitu siasa, Wamachinga hawafai
Mpaka sasa naona unazunguka kama dawa kuchoma ila hujanijibu swali.Kila mtu ana mahitaji ya msingi ya familia, so kutokufata taratibu za mipango miji na kuchafua miji hyo haukubaliki, halafu masoko yako mengi huko ndio ilikuwa sehemu Yao nakumbuka enzi za mkwere machinga walikuwa hawauzi popote migambo ilifanya kazi yao, so machinga wasiji one vulnerable kwa kutaka huruma kila mwananchi anapambana na Hali yake ya maisha, na hamna kitu kirahisi duniani.
yani kuna wafanyabiashara wakubwa wengi tu wamejiweka kwenye umwamvuli wa umachingaMmachinga kakopa milioni 15! Kama hajatumwa kuchafua basi anadtahili kuondolewa
Machinga huwa sehemu zao ni masokoni mbona inaeleweka ndugu au ubishi tu wataka Yani hivi unatetea watu wanaopika njiani barabarani vitumbua, vyakula na kufanya kila jambo?Mpaka sasa naona unazunguka kama dawa kuchoma ila hujanijibu swali.
Je tukiwatoa tuna wapeleka wapi.
hapo sasaDuh kumbe wamachinga wa Tz wanatengeneza hela kiasi kwamba benki zinawakubalia mikopo ya kupita milioni 15 kirahisi kabisa!
Sio kwel the GOVERNMENT has loose its wayThis is the right way if they can not negotiate, kwa any standards road receive area can not be used for machingas. The Gov should flex its muscles.
Wapi?Machinga huwa sehemu zao ni masokoni mbona inaeleweka ndugu au ubishi tu wataka Yani hivi unatetea watu wanaopika njiani barabarani vitumbua, vyakula na kufanya kila jambo?
Mbona masoko huwa ni mengi hawataki kwenda
we wa kupimwa akiliWapinzani tunazingua kila kitu siasa, Wamachinga hawafai