Mpenda vurugu
Member
- Apr 7, 2024
- 98
- 621
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.