Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

Kuna ajari nyingine imetokea chipaka ukiwa unatoka tunduma ikihusisha bus la kampuni ya new force,,, hiyo kapricon mwezi uliopita ili lala chali mlima nyoka.
 
Unaweza kuona namna gani njia ilivyo nyembamba
Yaani ni risk sana
Tunajilipua hivyohivyo kutembea Kwa miguu pembeni mwa barabara.
 
Attachments

  • IMG_20241004_104343_651.jpg
    IMG_20241004_104343_651.jpg
    616.3 KB · Views: 2
Unaweza kuona namna gani njia ilivyo nyembamba
Yaani ni risk sana
Tunajilipua hivyohivyo kutembea Kwa miguu pembeni mwa barabara.
Bora hioo ni pana kuna hii ya kutoka 88 kuja mpaka mwisho wa mji uyole aisee ile ndo nyembamba mno hata pa kutembea kwa mguu hapapo
 
Wameshaanza ujenzi toka week iliopita na wanafanya kazi hadi usiku wale wanao mwaga vifusi
Kama ni kweli basi ni heri
Kipande cha Mwisho wa waya hadi Tazara,toka wamwage hivyo vifusi kikasimama..
Ni vumbi tupu na zile kamba ndio imekuwa kero kabisa.
 
Wamiliki kuweni makini na madereva wenu.
Bahati mbaya wamiliki ndio wanawataka madereva wa aina hio chief cha kwanza kipaumbele chao ni mwendo wa haraka pasi na kujali usalama wowote.
 
Bora hioo ni pana kuna hii ya kutoka 88 kuja mpaka mwisho wa mji uyole aisee ile ndo nyembamba mno hata pa kutembea kwa mguu hapapo
Mkuu hii ni balaa zaidi maana ni kushukia Mbalizi
Ni balaa..halafu mteremkoni...chini kidogo huko kuna korongo.

Heri Uyole tambarale
 
Mkuu hii ni balaa zaidi maana ni kushukia Mbalizi
Ni balaa..halafu mteremkoni...chini kidogo huko kuna korongo.

Heri Uyole tambarale
Ni kweli iyo picha ni kuelekea daraja la treni pale mbalizi kiufupi tuseme mbeya bara bara hakuna kama huo mteremko ajri nzito nzito ndo zinatikea apo ukisikia ajari we jua hajatoka mtu
 
Imesimama Mkuu
Walianza Kwa mbwembwe lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea ni miezi kadhaa sasa
Na Tetesi ni kwamba mkandarasi hajapewa mpunga.
Hela zake zilienda kugharamia kuzuia maandamano ya Chadema, avumilie tu tumeagiza polisi wakusanye fedha kwa kutoza watu fine za barabarani kwa wingi
 
Hakuna siti ambayo ni salama
Ajali ni ajali tu
Na yeyote anaweza kufa,haijalishi umekaa siti gani.
Hatuongelei kutokufa
Studies znaonesha Head to head RTA ni nyingi kwenye hizi nchi za dunia ya 3
Ukikaaa Seat no 1 utaexpereince energy kubwa kutoka kwenye collision kuliko seat na 58
 
Ni kweli iyo picha ni kuelekea daraja la treni pale mbalizi kiufupi tuseme mbeya bara bara hakuna kama huo mteremko ajri nzito nzito ndo zinatikea apo ukisikia ajari we jua hajatoka mtu
Kwa kweli
Mbeya barabara ni majanga jiji lote
Inasikitisha Sana
 
Back
Top Bottom