Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

TAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
Hivi huyu Premier ni pacha wa Ally’s star?
 
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya

Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.

View attachment 3117441
 
IMG-20241007-WA0033.jpg
 
Mikamba ile ndio imeongeza shida
Bora ingebaki vilevile tu aisee
Barabara imekuwa ndogo mno hata pa kuchepuka hakuna.

Hii barabara inakera haswaa.
Zile kamba ni za tahadhari kuonyesha ukubwa wa hatari uliopo.....kwa jinsi walivyochimba ukienda pembeni kule imesha.
 
Sasa ilibidi watengeneze haraka barabara
Siyo wachimbe wakijua kabisa wanaoleta hatari,halafu wanaitelekeza barabara.
 
Poleni kwa ajali, nimeiona leo asubuhi,na ilileta jam kubwa kwa masaa kadhaa.
Hata hivyo,hii barabara ni finyu sana.
 
Premier wanazengo sio basi la kupanda kwa sasa ni ndani ya miezi isiyopungua mitatu ishapata ajali tatu...
Mbili mkoa wa iringa..
Leo nyingine tena mbeya
 
Imetokea mbeya asubuhi hii

Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya

Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.

Mbona ni kama wamegongania stand
 
Hao madereva nao walikuwa wanakimbilia wapi au wanakwepa nini wakati hapo ni mjini kabisa walipaswa kuwa na mwendo mdogo?
Hiyo ajali ilisababishwa na gari ndogo. Dereva wa gari hiyo alikuwa kalewa na kuingia barabarani bila tahadhali...
 
Back
Top Bottom