Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

Hatuongelei kutokufa
Studies znaonesha Head to head RTA ni nyingi kwenye hizi nchi za dunia ya 3
Ukikaaa Seat no 1 utaexpereince energy kubwa kutoka kwenye collision kuliko seat na 58
Oh hapo sawa Mkuu.
Kwahiyo unatushauri nini tunaopenda siti za mbelembele?
 
TAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
Sae
 
Kwakuwa Kayarama hajakuwa na rekodi ya ajali basi akikosea aachwe eti Mkuu?

Kumekuwa na mawazo kuwa "huku kukosea na kupatia" kibongo bongo kuna na vionjo vya rushwa na fitna pia.

Kupisha Shari maombi kwa mamlaka kama hizi kuwa na mabasi yao ya mfano yamekuwapo.

Lengo tufikie kwenye to lead, guide or manage by examples badala ya hii "mbwa" - yaani Management by walking around.

Kwamba Kwa kujua au kutokujua yawezekana wakalaumiwa watu bure.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
Inabidi sasa wanawake wawe madereva wa mabasi maana sio kwa ajali hizi
Mtu anaendesha kama mwehu bila kujali kabeba abiria halafu magari yenye thamani ya mamilioni ila wala hajali wala kujua hiyo thamani
Na wenye magari wangekuwa wanawachukilia Intensive driving course akifeli apewe mwingine
 
Madereva wajitahidi kuchukua tahadhari hasa maeneo korofi
M/Mungu awajalie wepesi majeruhi wapone haraka.
 
Madereva wajitahidi kuchukua tahadhari hasa maeneo korofi
M/Mungu awajalie wepesi majeruhi wapone haraka.
 
Hao madereva nao walikuwa wanakimbilia wapi au wanakwepa nini wakati hapo ni mjini kabisa walipaswa kuwa na mwendo mdogo?

Madereva wa mabasi ni wapumbavu kuliko unakuta eneo la mjini lkn wanalazimisha kwenda speed au sehem ya iliyokataza ku overtake dereva wa bus anaovertake bila kujali wana ujinga uliopitiliza
 
Ukizingatia wadau wanaendelea kudunda tu kwenye ardhi ya mola 😅🤣👆🏿👆🏿
Wanadunda ardhi ya Mola hii
Wananchi tunapata tabu,inakera sana
Yaani inakera.

Baadaye miCCM itakuja kutuomba kura wakati suala la barabara tu ndani ya mji limewashinda,,watu wanakufa kila siku kisa hizi barabara uchwara.
 
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya

Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.

View attachment 3117441
hawa jamaa wanaendesha hovyo sana.
Leo asubuhi inayotokea Arusha imenipita boko na mwendo wa kutisha huku ikiovateki bila kujali kama kuna gari inakuja mbele yake
 
Kwa comment hii, wewe ni Mnazi na bado u mdogo sana kiumri.

Hayo ni mawazo yako uliyokuwa na uhuru wote nayo.

Nami nikupe yangu au vipi?

"Kwa comment hii, wewe ni Mnazi na bado u mdogo sana kiumri."
 
Mikamba ile ndio imeongeza shida
Bora ingebaki vilevile tu aisee
Barabara imekuwa ndogo mno hata pa kuchepuka hakuna.

Hii barabara inakera haswaa.
Kule pembeni walichimba sana ndio wanamwaga vifusi sasa kufikia level, yaani pale ukibananishwa huna pa kwenda. Wachina walipotea naona wamerudi kwa kasi ya 5G.
 
Yeah
Walichimba sana aisee
Ukibanwa huna pa kwenda..ni hatari.

Heri kama wamerudi
Hali ilikuwa Mbaya kiukweli na ile mikamba yao.
Kule pembeni walichimba sana ndio wanamwaga vifusi sasa kufikia level, yaani pale ukibananishwa huna pa kwenda. Wachina walipotea naona wamerudi kwa kasi ya 5G.
 
Back
Top Bottom