Mpenda vurugu
Member
- Apr 7, 2024
- 98
- 621
Nyingine tena duhImetokea mbeya asubuhi hii
Imetokea mbeya asubuhi hii
Ilomba mbeyaTAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
Na wale wanaojenga hii barabara wamefunga mikamba yao ile pembeni, barabara imekuwa nyembamba sana. inahitaji umakini sana, mwezi uliopita boda boda kadead kwa kugongwa na gari hapo kituo cha daladala kilimo, tena akiwa site yake. Mshenzi yule dereva wa basi na haraka zake akaovertkae bila kuangalia, boda hana pa kuchochora.Barabara Mbeya mjini ni nyembamba sana na imejaa foleni
Yaani ni risk sana hata kutembea pembezoni mwa barabara.
.....
Kapricon tena
Hatari sana
Naona inapanuliwa lakini kwa mwendo wa kinyonga sijui shida nini.Barabara Mbeya mjini ni nyembamba sana na imejaa foleni
Yaani ni risk sana hata kutembea pembezoni mwa barabara.
.....
Kapricon tena
Hatari sana
Hao madereva nao walikuwa wanakimbilia wapi au wanakwepa nini wakati hapo ni mjini kabisa walipaswa kuwa na mwendo mdogo?Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.
View attachment 3117441
Hizo hazinaga usalama ila Huwa ni nzuri Kwa Kufanya utaliibado mnasema seat za mbele ni salama
Mikamba ile ndio imeongeza shidaNa wale wanaojenga hii barabara wamefunga mikamba yao ile pembeni, barabara imekuwa nyembamba sana. inahitaji umakini sana, mwezi uliopita boda boda kadead kwa kugongwa na gari hapo kituo cha daladala kilimo, tena akiwa site yake. Mshenzi yule dereva wa basi na haraka zake akaovertkae bila kuangalia, boda hana pa kuchochora.
Imesimama MkuuNaona inapanuliwa lakini kwa mwendo wa kinyonga sijui shida nini.