Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Oh hapo sawa Mkuu.Hatuongelei kutokufa
Studies znaonesha Head to head RTA ni nyingi kwenye hizi nchi za dunia ya 3
Ukikaaa Seat no 1 utaexpereince energy kubwa kutoka kwenye collision kuliko seat na 58
SaeTAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
Inasikitisha sana.Hela zake zilienda kugharamia kuzuia maandamano ya Chadema, avumilie tu tumeagiza polisi wakusanye fedha kwa kutoza watu fine za barabarani kwa wingi
Pole. Feel sorry for thed weld dwellers. Recklessness, bad infrastructure and leaving everything to God.juzi tu hapa capricorn nyingine ilipata ajali tanga ikaua watu 4
Ukizingatia wadau wanaendelea kudunda tu kwenye ardhi ya mola π π€£ππΏππΏInasikitisha sana.
Kwakuwa Kayarama hajakuwa na rekodi ya ajali basi akikosea aachwe eti Mkuu?
Inasikitisha sanaKwa kweli
Mbeya barabara ni majanga jiji lote
Inasikitisha Sana
Hao madereva nao walikuwa wanakimbilia wapi au wanakwepa nini wakati hapo ni mjini kabisa walipaswa kuwa na mwendo mdogo?
Wanadunda ardhi ya Mola hiiUkizingatia wadau wanaendelea kudunda tu kwenye ardhi ya mola π π€£ππΏππΏ
hawa jamaa wanaendesha hovyo sana.Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.
View attachment 3117441
Kwa comment hii, wewe ni Mnazi na bado u mdogo sana kiumri.Wenye kuwachuria katarama wako wapi?
wanton6, Mzee wa kupambania, New City, latra huko tumesalimika ndugu zangu?
Ajali hazina mwenyewe, poleni wahanga Mola awafanyie wepesi.
Kwa comment hii, wewe ni Mnazi na bado u mdogo sana kiumri.
Tulia weweee makobaz wenzako wanapokea doz za kutosha huko Gazza na Lebanon.Hayo ni mawazo yako uliyokuwa na uhuru wote nayo.
Nami nikupe yangu au vipi?
"Kwa comment hii, wewe ni Mnazi na bado u mdogo sana kiumri."
Kule pembeni walichimba sana ndio wanamwaga vifusi sasa kufikia level, yaani pale ukibananishwa huna pa kwenda. Wachina walipotea naona wamerudi kwa kasi ya 5G.Mikamba ile ndio imeongeza shida
Bora ingebaki vilevile tu aisee
Barabara imekuwa ndogo mno hata pa kuchepuka hakuna.
Hii barabara inakera haswaa.
Tulia weweee makobaz wenzako wanapokea doz za kutosha huko Gazza na Lebanon.
Chezea wateule wewe!
Kule pembeni walichimba sana ndio wanamwaga vifusi sasa kufikia level, yaani pale ukibananishwa huna pa kwenda. Wachina walipotea naona wamerudi kwa kasi ya 5G.