Poleni Watanganyika, poleni sana

Hapa unaweza kuchukua kitambaa na kufuta jasho ndani ya ofisi yenye air-condition.

Nakumbuka sana wakati watu wanaomboleza kwa kifo cha JPM mlichinja, kunywa na kufurahi huku mkiimbwa, 🎵nchi imefunguliwa, now mmeamuliwa ugomviπ.

Nilimpa muda si haba now wale wale ndiyo tupo hapa tunaomboleza.

Hakuna shetani wa blue, kijani au mweusi akawa na tabia yake.
 
Dah umetosha mkuu
 
Swala la Unafiki, Ubinafsi, Uoga huwa najiuliza tulizaliwa nao au tumeutoa wapi??? Maana si wenye Elimu wala si wale wasiokuwa na Elimu wote wana hiyo kitu., na shida kubwa kabisaaaa ni NJAA tunayoiendekeza, ila wakae wakijuwa hawatazikwa na Mali.
 
shida kubwa kabisaaaa ni NJAA tunayoiendekeza, ila wakae wakijuwa hawatazikwa na Mali.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Hiyo bendera isiyo na rangi ya blue, ndio bendera halisi ya tanzania( tanganyika) ya sasa
 
Hili linaloitwa bunge limejaa wahuni, mazuzu, majitu majizi yanayoendekeza rushwa.

Haya majitu hayana faida hata chembe kwa Taifa. We would be much better without this group of thugs.
 
Mkuu yaani nimekuweka kundi la zero brain kabisa. Kwanini uwe mpinzani wa serikali???? Huna adabu kabisa. Mkataba ulishaambiwa ni makubaliano ya awali mnaanza kulalama ebo! Tutawashughulikia!
We punguani una uwezo wa kumshughulikia mtu gani?

Wewe umebakia wa kuambiwa, kwa sababu huna akili wala uelewa. Wenye akili hawasubiri kuambiwa, wanaangalia mkataba jinsi ulivyo.
 
We punguani una uwezo wa kumshughulikia mtu gani?

Wewe umebakia wa kuambiwa, kwa sababu huna akili wala uelewa. Wenye akili hawasubiri kuambiwa, wanaangalia mkataba jinsi ulivyo.
Wenye akili tunamuunga mkonk Dkt Samia
 
💪💪💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…