Poleni Watanganyika, poleni sana

Poleni Watanganyika, poleni sana

Hapa unaweza kuchukua kitambaa na kufuta jasho ndani ya ofisi yenye air-condition.

Nakumbuka sana wakati watu wanaomboleza kwa kifo cha JPM mlichinja, kunywa na kufurahi huku mkiimbwa, 🎵nchi imefunguliwa, now mmeamuliwa ugomviπ.

Nilimpa muda si haba now wale wale ndiyo tupo hapa tunaomboleza.

Hakuna shetani wa blue, kijani au mweusi akawa na tabia yake.
 
yule umbwa hakutumwa na waislamu wala uislamu hautambui unafiq, yule aliharisha maneno baada ya kuona maslaha ya unguja yameguswa kimsingi yule ni hayawani kama wengine tu bora hata sheikh alhad musa saad alikuwa na kiakili kidogo hata cha kuvukia barabara. laanatulayhi wale umbwa koko, naumia sana kuona jitu nafiq kwa ajili ya tumbo tu.
Dah umetosha mkuu
 
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors)
Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu)
Sisi ni wabinafsi
Sisi ni waongo sana
Sisi si wamoja na hatuna umoja
Sisi hatuna uzalendo na hatujanyooka

Leo hii kuna Tanzania na kuna Zanzibar! Nyeusi tuite nyeusi jamani.. Je Tanganyika iko wapi? Imebaki kwenye makabrasha ya kumbukumbu ghalani..!

Suala la kuuza/kugawa/kubinafsisha bandari zetu zote za Tanganyika ya makaratasi, limetuacha uchi na kuthibitisha sisi ni watu wa namna gani!
Wenzetu ndugu zetu na jirani zetu Zanzibar wametuzodoa, wametubeza, wametupasha, wametukejeli na kutucheka sana humu mitandaoni.. Wametupa majina mengi mabaya na ya kukarahisha sana! TUNASTAHILI!

Tumejawa na unyonge na unafiki wa ajabu kabisa! Hatuna mbele hatuna nyuma kama sigara kali! Nyuma ni mbele na mbele ni kama nyuma
Tukiwashwa mbele nyuma tunavutika! Tukiwashwa nyuma mbele tunavutika!

Jana kilichoitwa kikao cha viongozi wa dini kimetoa mwelekeo mpya mpya kwenye hili sakata! Kimepangua na kufisha hoja zote zilizotumiwa na bunge kukubaliana na kile kilichokuwa kimepangwa na wenye ajenda zao!

Nyeusi tuite nyeusi, kikao kile pamoja na kuitwa ni kikao cha viongozi wa dini.. Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo! Kuna taasisi bado zitabaki kuwa juu miongo mingi ijayo kutokana na elimu! Na ndio maana EL alisisitiza sana elimu
Bunge letu! a laughing stock of the century tusiwaseme vibaya marehemu kwakuwa hawapo kujitetea lakini tukumbuke nyayo zao zinaishi kila walikopita! Tusingekuwa na bunge la namna hii kama kuna watu wasingekuwa na fikra finyu maono kimo cha mbilikimo!

Watetezi wa uwekezaji kandamizi wa kinyonyaji na kitapeli, wameokotezwa huko na huko na kupewa chochote kulingana na hadhi zao (price tags) lakini zisikilize hoja zao sasa! Sio hoja ni vioja! Wanapiga tu kelele na kupayuka kama mahoka kwa sangoma! Cha kushangaza wamepata uungwaji mkono na wajinga wengi.

Viongozi na wanasiasa walioko madarakani! Hawa sijui wanawaza nini! Au ndio ule usemi shibe mwana malevya? Hakuna hata mmoja aliyejitokeza waziwazi na kusema kwa sauti thabiti HILI HALIFAI! wote wanaishia kunong'ona mafichoni tena kwa sauti ya woga! Hawatuwazii sisi, hawaliwazii taifa! Wanajiwazia wao na matumbo yao na familia zao.

Poleni Watanganyika! Poleni sana! Kuna tabaka la wapigaji walioamua kujimilikisha hii nchi[emoji24], ubinafsi na unafiki wetu na woga wetu vimetufanya tuwaache wakue na kujijenga kwa nguvu mno! Sasa hawagusiki tena! Na kamwe hawajitokezi hadharani bali huwatumia makuwadi na vibaraka wao tangu juu mpaka chini kabisa, kila mahali na kila penye mikono ya uamuzi.. NA WOTE HAO NI WATANGANYIKA WENZETU

Tusiwalaumu wezi tuwalaumu waliowaonesha wezi mlango wa kuingilia huku wakiwalinda ili waweze kuiba nyumbani kwetu bila kukamatwa!

Poleni watanganyika! Tumeziona rangi zetu halisi

Swala la Unafiki, Ubinafsi, Uoga huwa najiuliza tulizaliwa nao au tumeutoa wapi??? Maana si wenye Elimu wala si wale wasiokuwa na Elimu wote wana hiyo kitu., na shida kubwa kabisaaaa ni NJAA tunayoiendekeza, ila wakae wakijuwa hawatazikwa na Mali.
 
shida kubwa kabisaaaa ni NJAA tunayoiendekeza, ila wakae wakijuwa hawatazikwa na Mali.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Hiyo bendera isiyo na rangi ya blue, ndio bendera halisi ya tanzania( tanganyika) ya sasa
 
Bring back our Tanganyika, kati ya siku nilishangaa ni siku bunge linajadili hilo suala yaani kiukwel tuwe wakweli bila kuficha wabunge wa Tanzania ni wanafiki saana kwa asilimia 90 mle ndani nilikuwa ninasikia kusifia tu wala sikupata hoja zenye mashiko shame on them
Hili linaloitwa bunge limejaa wahuni, mazuzu, majitu majizi yanayoendekeza rushwa.

Haya majitu hayana faida hata chembe kwa Taifa. We would be much better without this group of thugs.
 
Mkuu yaani nimekuweka kundi la zero brain kabisa. Kwanini uwe mpinzani wa serikali???? Huna adabu kabisa. Mkataba ulishaambiwa ni makubaliano ya awali mnaanza kulalama ebo! Tutawashughulikia!
We punguani una uwezo wa kumshughulikia mtu gani?

Wewe umebakia wa kuambiwa, kwa sababu huna akili wala uelewa. Wenye akili hawasubiri kuambiwa, wanaangalia mkataba jinsi ulivyo.
 
Wenye akili tunamuunga mkonk Dkt Samia
 
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors)
Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu)
Sisi ni wabinafsi
Sisi ni waongo sana
Sisi si wamoja na hatuna umoja
Sisi hatuna uzalendo na hatujanyooka

Leo hii kuna Tanzania na kuna Zanzibar! Nyeusi tuite nyeusi jamani.. Je Tanganyika iko wapi? Imebaki kwenye makabrasha ya kumbukumbu ghalani..!

Suala la kuuza/kugawa/kubinafsisha bandari zetu zote za Tanganyika ya makaratasi, limetuacha uchi na kuthibitisha sisi ni watu wa namna gani!
Wenzetu ndugu zetu na jirani zetu Zanzibar wametuzodoa, wametubeza, wametupasha, wametukejeli na kutucheka sana humu mitandaoni.. Wametupa majina mengi mabaya na ya kukarahisha sana! TUNASTAHILI!

Tumejawa na unyonge na unafiki wa ajabu kabisa! Hatuna mbele hatuna nyuma kama sigara kali! Nyuma ni mbele na mbele ni kama nyuma
Tukiwashwa mbele nyuma tunavutika! Tukiwashwa nyuma mbele tunavutika!

Jana kilichoitwa kikao cha viongozi wa dini kimetoa mwelekeo mpya mpya kwenye hili sakata! Kimepangua na kufisha hoja zote zilizotumiwa na bunge kukubaliana na kile kilichokuwa kimepangwa na wenye ajenda zao!

Nyeusi tuite nyeusi, kikao kile pamoja na kuitwa ni kikao cha viongozi wa dini.. Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo! Kuna taasisi bado zitabaki kuwa juu miongo mingi ijayo kutokana na elimu! Na ndio maana EL alisisitiza sana elimu
Bunge letu! a laughing stock of the century tusiwaseme vibaya marehemu kwakuwa hawapo kujitetea lakini tukumbuke nyayo zao zinaishi kila walikopita! Tusingekuwa na bunge la namna hii kama kuna watu wasingekuwa na fikra finyu maono kimo cha mbilikimo!

Watetezi wa uwekezaji kandamizi wa kinyonyaji na kitapeli, wameokotezwa huko na huko na kupewa chochote kulingana na hadhi zao (price tags) lakini zisikilize hoja zao sasa! Sio hoja ni vioja! Wanapiga tu kelele na kupayuka kama mahoka kwa sangoma! Cha kushangaza wamepata uungwaji mkono na wajinga wengi.

Viongozi na wanasiasa walioko madarakani! Hawa sijui wanawaza nini! Au ndio ule usemi shibe mwana malevya? Hakuna hata mmoja aliyejitokeza waziwazi na kusema kwa sauti thabiti HILI HALIFAI! wote wanaishia kunong'ona mafichoni tena kwa sauti ya woga! Hawatuwazii sisi, hawaliwazii taifa! Wanajiwazia wao na matumbo yao na familia zao.

Poleni Watanganyika! Poleni sana! Kuna tabaka la wapigaji walioamua kujimilikisha hii nchi[emoji24], ubinafsi na unafiki wetu na woga wetu vimetufanya tuwaache wakue na kujijenga kwa nguvu mno! Sasa hawagusiki tena! Na kamwe hawajitokezi hadharani bali huwatumia makuwadi na vibaraka wao tangu juu mpaka chini kabisa, kila mahali na kila penye mikono ya uamuzi.. NA WOTE HAO NI WATANGANYIKA WENZETU

Tusiwalaumu wezi tuwalaumu waliowaonesha wezi mlango wa kuingilia huku wakiwalinda ili waweze kuiba nyumbani kwetu bila kukamatwa!

Poleni watanganyika! Tumeziona rangi zetu halisi

💪💪💪
 
Back
Top Bottom