Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,063
- 2,874
We shika adabu ya MagufuliShika adabu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We shika adabu ya MagufuliShika adabu yako
Mkuu zipo sema wabunge wa upinzani kupenda "show za Sugu" akibebwa mzobemzobe kutolewa bungeni na wao kuzira ndio maana wanawalisha matango poli kuwa bunge halikupitisha bajeti ya miradi ile!Embu ziweke haoa hizo documents
mzee kama ATC ingekuwa ipi ICU leo hii ingekuwa hewani mbona kuna baadhi ya mambo mnamezeshwa nanyi mnashindwa kuyachuja kama hakuna IQ kabisaMiradi ipi imeanza kurudisha pesa hebu tutajie na wengine tujuwe maana ATCL ndo iko ICU
mbona unazid kuaibisha chama ndugu
yani mpka leo hujui kila ndege imenunuljwa sh ngapi wakati vitu vyote vipo wazi kabisa
Umehamisha goli kwenda kwenye miamala ya benki?Acha maneno wekeni proof ya bank transactions tulinganishe na kiasi mlichopitisha bungeni
Kwani hoja ya Lissu ilikuwa inasemaje???Umehamisha goli kwenda kwenye miamala ya benki?
mzee kama ATC ingekuwa ipi ICU leo hii ingekuwa hewani mbona kuna baadhi ya mambo mnamezeshwa nanyi mnashindwa kuyachuja kama hakuna IQ kabisa
ote tunaishi maisha ya chini lakini palipo na ukweli lazma usemwe now,mara ya kwanza tulikuwa tunataka mtuambie nini mtafanya mkipewa nchi na siyo kueneza uongo sasa baada ya kusema nini mtafanya ndo mmepoteza kabisa matumaini ya kupata 20% ya kura za wenye kujitambua maana agenda ni moja tu kuuza nchi na kurudisha power ya aliye nyuma yenuUngekuwa unaishi uswahilini alafu mama yako anauza mihogo au vitumbua usingejibu upuuzi kama huu.
Mashenzi hayo yana susa bungeni then yanakuja kutusumbua mtaani.baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
mkuu mahesabu yote ya mashirika hutolewa kila mwaka na huchapishwa kwenye magazeti ya umma mbona ni jambo rahisi,tafuta mahesabu ya 2019-2020 then utuonyeshe hapa kama ATC ipo ICU usibebeshwe tu mambo usiyoyajua na kuja kuropoka bila evidence,mbona mwenzenu anaongea kwa evidence refer Pole poleKwani kuwa hewani ndo kuleta faida wewe vipi iko ICU kibiashara, Leyte mahesabu yake tuone negative zilivyopangana
Chadema mnahitilafu za ubongo si bureWe shika adabu ya Magufuli
Kama Dotto na JPM wanazingua kuonyesha invoice nenda Boeing makao makuu...hao jamaa hawapo radhi kuona share zao kwenye NYSE zinaporomokoka kisa hao watu wawili....utapewa mikataba na bank transactions details zotee! Hapo itakuwa mwisho wako wa kuwa kama nyumbu na kufuata kila asemacho Lissu!Kwani hoja ya Lissu ilikuwa inasemaje???
Lissu alisema ni Magufuli na Doto James tu ndo wanajua zimelipiwaje!!! Issue hapa ni bei ya kila ndege and not otherwise.
Tuonesheni proof ya payment kuonesha mlilipa shilingi ngapi kwa kila ndege full stop!
Kwa iyo unakiri kuwa mmeshindwa kujibu hoja za lissu??? Sawasawa????Kama Dotto na JPM wanazingua kuonyesha invoice nenda Boeing makao makuu...hao jamaa hawapo radhi kuona share zao kwenye NYSE zinaporomokoka kisa hao watu wawili....utapewa mikataba na bank transactions details zotee! Hapo itakuwa mwisho wako wa kuwa kama nyumbu na kufuata kila asemacho Lissu!
Wewe na wewe ni binadamu au kibwengo?maisha yashakuaga maraisi lini? we unadhan tanzania kuna maisha magumu? ulishawahi kufanya kazi anywhere kwenye states za marekani? ushawahi kulipishwa kodi 60% wewe? maisha magumu yaskie tu
Ujinga gani? ilihali kila kukicha naona masoko yanapanuka kwa wingi wa wafanyabiashara.
Anakula bure Hilo halimhusuHili la mzunguko wa pesa kusinyaa na kusababisha ugumu wa maisha alitakiwa alizungumzie.
Waonyeshe wasionyeshe alitakiwa ajibu,kwa nini hali ya ugumu wa maisha inazidi kila siku? Mtu anaamka asubuhi hana uhakika wa kazi au chakula,alafu ana kenua meno tu.Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???
Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni.
Majibu kwa hoja za Lissu ni kuwa CCM waoneshe bank transactions kutoka serikali ya Tanzania kwenda Boeing na Bombardier kuonesha walilipa shilingi ngapi kwa kila ndege not otherwise.
Bado CCM hamjajibu hoja za Lissu!! Mnaweweseka tu 😂😂😂😂😂😂
Kakuuliza Swala la Msingi Sana ungemjibu VizuriWewe na wewe ni binadamu au kibwengo?