Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Embu ziweke haoa hizo documents
Mkuu zipo sema wabunge wa upinzani kupenda "show za Sugu" akibebwa mzobemzobe kutolewa bungeni na wao kuzira ndio maana wanawalisha matango poli kuwa bunge halikupitisha bajeti ya miradi ile!
 
Miradi ipi imeanza kurudisha pesa hebu tutajie na wengine tujuwe maana ATCL ndo iko ICU
mzee kama ATC ingekuwa ipi ICU leo hii ingekuwa hewani mbona kuna baadhi ya mambo mnamezeshwa nanyi mnashindwa kuyachuja kama hakuna IQ kabisa
 
mbona unazid kuaibisha chama ndugu
yani mpka leo hujui kila ndege imenunuljwa sh ngapi wakati vitu vyote vipo wazi kabisa

Viko wazi kwenye mkataba upi hizo bei za kutoka midomini kwa watu wanaoweza kuzungumza lolote angeleta mikataba ya hayo manunuzi ndipo tungeweza kuamini lakini maneno matupu hapana
 
Umehamisha goli kwenda kwenye miamala ya benki?
Kwani hoja ya Lissu ilikuwa inasemaje???

Lissu alisema ni Magufuli na Doto James tu ndo wanajua zimelipiwaje!!! Issue hapa ni bei ya kila ndege and not otherwise.

Tuonesheni proof ya payment kuonesha mlilipa shilingi ngapi kwa kila ndege full stop!
 
mzee kama ATC ingekuwa ipi ICU leo hii ingekuwa hewani mbona kuna baadhi ya mambo mnamezeshwa nanyi mnashindwa kuyachuja kama hakuna IQ kabisa

Kwani kuwa hewani ndo kuleta faida wewe vipi iko ICU kibiashara, Leyte mahesabu yake tuone negative zilivyopangana
 
Ungekuwa unaishi uswahilini alafu mama yako anauza mihogo au vitumbua usingejibu upuuzi kama huu.
ote tunaishi maisha ya chini lakini palipo na ukweli lazma usemwe now,mara ya kwanza tulikuwa tunataka mtuambie nini mtafanya mkipewa nchi na siyo kueneza uongo sasa baada ya kusema nini mtafanya ndo mmepoteza kabisa matumaini ya kupata 20% ya kura za wenye kujitambua maana agenda ni moja tu kuuza nchi na kurudisha power ya aliye nyuma yenu
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Mashenzi hayo yana susa bungeni then yanakuja kutusumbua mtaani.
 
Kwani kuwa hewani ndo kuleta faida wewe vipi iko ICU kibiashara, Leyte mahesabu yake tuone negative zilivyopangana
mkuu mahesabu yote ya mashirika hutolewa kila mwaka na huchapishwa kwenye magazeti ya umma mbona ni jambo rahisi,tafuta mahesabu ya 2019-2020 then utuonyeshe hapa kama ATC ipo ICU usibebeshwe tu mambo usiyoyajua na kuja kuropoka bila evidence,mbona mwenzenu anaongea kwa evidence refer Pole pole
 
Sidhani km hbr za maisha magumu zinamhusu polepole..... Yeye kafanya kazi yake ya kulamba makalio ili cheo kiendelee basi siku imeisha.....

Hakuna mwanaccm mwemye huruma na maisha ya watz
 
Kwani hoja ya Lissu ilikuwa inasemaje???

Lissu alisema ni Magufuli na Doto James tu ndo wanajua zimelipiwaje!!! Issue hapa ni bei ya kila ndege and not otherwise.

Tuonesheni proof ya payment kuonesha mlilipa shilingi ngapi kwa kila ndege full stop!
Kama Dotto na JPM wanazingua kuonyesha invoice nenda Boeing makao makuu...hao jamaa hawapo radhi kuona share zao kwenye NYSE zinaporomokoka kisa hao watu wawili....utapewa mikataba na bank transactions details zotee! Hapo itakuwa mwisho wako wa kuwa kama nyumbu na kufuata kila asemacho Lissu!
 
Kwa iyo unakiri kuwa mmeshindwa kujibu hoja za lissu??? Sawasawa????
 
maisha yashakuaga maraisi lini? we unadhan tanzania kuna maisha magumu? ulishawahi kufanya kazi anywhere kwenye states za marekani? ushawahi kulipishwa kodi 60% wewe? maisha magumu yaskie tu
Wewe na wewe ni binadamu au kibwengo?
 
Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???

Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni.

Majibu kwa hoja za Lissu ni kuwa CCM waoneshe bank transactions kutoka serikali ya Tanzania kwenda Boeing na Bombardier kuonesha walilipa shilingi ngapi kwa kila ndege not otherwise.

Bado CCM hamjajibu hoja za Lissu!! Mnaweweseka tu 😂😂😂😂😂😂
Waonyeshe wasionyeshe alitakiwa ajibu,kwa nini hali ya ugumu wa maisha inazidi kila siku? Mtu anaamka asubuhi hana uhakika wa kazi au chakula,alafu ana kenua meno tu.
 
Back
Top Bottom