balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,880
- 13,938
Tuma picha pleaseNAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga