GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Kuzima internet sio lazima utoe cable TCRA tu wanapress button
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
 
Wakuu!

Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.

Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025.

Unategemea kusikia nini kutoka kwake?

Kama anaongea kutoka mafichoni si atupe link na sisi tufuatilie moja kwa moja...!!?
 
Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Teh teh teh

Sasa ana ujasusi gani kwa mfano,bavicha badala muandamane lisu atoke jela mmejazana mitandaoni kuongea pumba
 
Wahuni wameruka ukuta wa dada yake anasema,bila shaka hata ukuta wake wahuni wameruka nao huko CUBA ndiyo maana kakimbia kazini.
 
Taarifa zinasema amekimbia CUBA kwa kuwa wahuni wameruka ukuta wake na yeye kwa sasa beki hazikabi.
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Kama alikuwa anajua anaongea na press kwann asisubir kutoa taarifa za kurekwa kwa dada yake . Ili atoe kupitia press?
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Unahangaika wewe na mamayako!
 
Back
Top Bottom