johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waislamu bhana 😂😂✔️Taarifa zinasema amekimbia CUBA kwa kuwa wahuni wameruka ukuta wake na yeye kwa sasa beki hazikabi.
Waislamu bhana 😂😂✔️Taarifa zinasema amekimbia CUBA kwa kuwa wahuni wameruka ukuta wake na yeye kwa sasa beki hazikabi.
Kajizima mwenyewe mpuuzi yuleWameshazima
Labda ndio anataka ku confess leoHuyu boya ndiye alikuwa "mastermind" wa Ben kuuwawa, hapo hapo jumba jeupe. Ni kapuuzi, kasijitoe ufahamu.
Duuh...Leo ndo ubaya ubwelaaa wenyeweLike serious YouTube haifanyi kazi.
hii vita ni kali kuliko watu tunavyo chukuliaMtandao wa YouTube umezimwa
Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Saa 5 na dakika 30 hii hakuna kitu kinachoendelea mpaka sasa au ndio mpaka kesho tenaTunasubiri
Kupambana na dola siyo jambo rahisi. Huyu polepole analichukulia poaNasikia anatumia mtandao wa zoom, lakini Zoom wanaingia watu wachache tu. Atumie youtube ili watu wengi wasikie.
Tuupunguze uongo unaoonekana wazi muda mwengine jaribu kuzitumia akili zako vizuri usiamini kila unachoandikiwa mtandaoniMafunzo ya kijasusi ukipigwa rungu haliingii
Wamezima kwa makusudi mkuuLike serious YouTube haifanyi kazi.
Sasa hilo dubwasha nalo ninahangaikia nini? Watu wengine hawana akili ht za kuazima.Wakuu!
Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.
Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025.
Unategemea kusikia nini kutoka kwake?
Zoom ipi anayoitumia inayoingia watu wachache? Mchawi link na network nzuri tuNasikia anatumia mtandao wa zoom, lakini Zoom wanaingia watu wachache tu. Atumie youtube ili watu wengi wasikie.
Mimi siyo BAVICHA Wala UVCCM.Teh teh teh
Sasa ana ujasusi gani kwa mfano,bavicha badala muandamane lisu atoke jela mmejazana mitandaoni kuongea pumba
Hizo zitakuwa reform za mamako, watanzania OKTOBA WANATIKINo Reform No ELECTION!!
Waislamu bhana 😂😂✔️